Ukweli mchungu: Maombi ya kujionesha, hata kama ni ya siku tisa (Novena), Mungu hayasikii

Matusi hayo halafu unatarajia sala yako ndefu itajibiwa?
Yn 9:31
Twajua ya kuwa Mungu hawasikii wenye dhambi
Tuliza mkundyu wako chini huo sasa kàma Mungu hasikii , huo muwasho wa nini wewe ***** ? .
 
Sasa kwanini unakimbilia kutoa reference ya Eliya. Hujui kwamba Yesu alikuja baada ya Eliya? Yesu angekuwa anafurahia kujivuna na kujionesha si angesema ombeni hadharani kama Eliya?
kwa hiyo Eliya hakuwa Mtumishi wa Mungu?,kwani umemuuliza Roho Mtakatifu the revelation behind those novena prayers?,.stop judging,stand at your duty post,au mnaogopa majibu ya maombi?
 
Tuliza mkundyu wako chini huo sasa kàma Mungu hasikii , huo muwasho wa nini wewe ***** ? .
Wewe hii mada haikuhusu. Inawahusu wanaoenda kwenye masinagogi. Matusi hayo ni dhahiri kwamba huwa hauhudhurii ibada. Vinginevyo ungeishatubu dhambi ya kutukana
 
Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.

Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”

Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.
Sawa ze bulldozier & co,yako yanasikilizwa hata na shetani,ongeza bidii
 
kwa hiyo Eliya hakuwa Mtumishi wa Mungu?,kwani umemuuliza Roho Mtakatifu the revelation behind those novena prayers?,.stop judging,stand at your duty post,au mnaogopa majibu ya maombi?
Maombi ya agano jipya ni sirini sio tangazo la bidhaa za Azam au tangazo la kwenye spika na mitandaoni na njia panda kama

Hayo mambo yalikuwq agano la kale

Hili la wakatoliki kupiga parapanda njia panda ohhh tutakuwa na maombi ya Taifa ufarisayo

Agano moya maombi kama hayo Mungu hasikilizi
 
Maombi ya agano jipyq ni sirini sio tangaxo la kwenye spika na mitandaoni na njia panda

Hayo mambo yalikuwq agano la kale

Hili la wakatoliki kupiga parapanda njia panda ohhh tutakuwa na maombi ya Taifa ufarisayo

Agano moya maombi kama hayo Mungu hasikilizi
mimi sio Mkatoliki,mbona Makanisa mengine huwa wanaitsha maombi na lengo la maombi hayo husemwa?,tatizo ni Kanisa Katoliki ?
 
Two wrongs dont make a right

Wote hawako sahihi katoliki na hao wengine
 
Watu wa Mungu wanatenda aliyosema Mungu. Mungu amesema usijioneshe barabarani kuwa unasali, wewe unampinga Mungu na kujionesha mpaka mitandaoni, halafu unadai u mtu wa Mungu?
Lk 6:46-49
"Kwa nini mnaniita, Bwana, Bwana, lakini hamtendi nisemayo?"
Waache watu na Imani zao na ww Baki na Imani Yako,heshimu Imani za watu you are not a "god" to judge.

Acha dhihaka.
 
Umeelewa? Maombi ya kujionesha, yenye majivuno na kujitangaza hata kama ni ya muda mrefu, Mungu hayasikii

Maombi anayoyasikia Mungu ni maombi ya faragha, sala inayotoka katika moyo safi na mnyenyekevu, na machozi ya ndani yasiyo na matangazo.

"Lakini wewe unaposali, ingia chumbani mwako[sio mtandaoni], funga mlango [hata members wa JF wasijue] na umwombe Baba yako aliye sirini. Naye Baba yako aonaye sirini atakupa thawabu yako." (Mt 6:6)
Hivi kuna watu wanaosali kwa kupiga makelele na kubweka kuwazidi WALOKOLE? !!! Kunya anye kuku akinya bata kaharisha
 
Batimayo kipofu kwenye Biblia alipiga makelele kuomba na Mungu akamsikia akamponya upofu wake

Maombi ya makelele yalikuwa yake ya kibinafsi Sio tangazo kuwa atakuwa na maombi ya kuomba aponywe akitangaza njia panda watu wasikie kama wakatoliki walivyofanya kutangaza njia panda na vyombo vya habari

Batimayo kipofu hakuwa na maombi ya kujionyesha au kujitangaza
Makelele yao kama ni maombi binafsi ambayo hawajamtangazia mtu achana nao na maombi ya makelele yao wako kama Batimayo

Yesu hakumwambia nyamaza au punguza sauti
 
Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.

Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”

Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.
Kuna wakati Mungu ni kiziwi. Quote yako haina uhalisia, ni mara ngapi mlisimamisha shingo wakati wa corons na kuomba? Mlijificha, Mungu gani hataki watu wajue kama unaomba kitu fulani?? Nini tofauti ya kusali na kuomba??
 
kwa hiyo Eliya hakuwa Mtumishi wa Mungu?,kwani umemuuliza Roho Mtakatifu the revelation behind those novena prayers?,.stop judging,stand at your duty post,au mnaogopa majibu ya maombi?
Kama Eliya ndio role model wako basi ukishamaliza hayo maombi yako ya kujionyesha, fanya kama Eliya
1 Wafalme 18:40
Eliya akawaambia, Wakamateni hao manabii wa Baali, asiokoke hata mmoja. Wakawakamata; na Eliya akawachukua mpaka kijito cha Kishoni, akawaua huko.
 
Ebr 10:25​

Wala tusiache kukusanyika pamoja, kama ilivyo desturi ya wengine; bali tuonyane; na kuzidi kufanya hivyo, kwa kadiri mwonavyo siku ile kuwa inakaribia.
 
Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.

Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”

Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.
Kwahiyo wewe ni msemaji wa Mungu kwa Sasa?!
 
Back
Top Bottom