antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Nadhani huyo ni KeNatamani nijue jinsia yako
Nadhani huyo ni KeNatamani nijue jinsia yako
Pakuche haraka tupate habari za ukombozi kwa taifa hili?CCM wapo kwenye hatua za mwisho kuelekea kwenye umauti....na ndio wanatapa tapa.......
Kila saa kuna zuka nyuzi na I'd mpya kumnanga Polepole na wapigania haki wengine!!!!
Karibuni kunakuchwa!!!View attachment 3450185
Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.
Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”
Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.
Halafu anajifanya mlokole kumbe mmbea mmoja tuu...kusema wenzake as if aliwasiliana na Mungu kusikia kama hawasikilizi.Acha ujuaji wa kipumbavu. Suala la maombi ni mtu na imani yake na Mungu wake. Wewe kama hayakuhusu si unaachana nayo? Hakuna ujuaji kwenye imani za watu.
Hata shetani hapendi wanaoomba kuziziba njia zakeMaombi kama hayo.mazito ya Taifa huhitaji kuwa siri kwa waombaji tu sio kutangaza njia panda utadhani tangazo la biashara unauza Azam Ashikrimu
Umeeleza vizuri kama ilivyo. Nadhani sasa Setfree ataelewaKilicho tangazwa ni Taarifa ya ratiba ya kusali sala hiyo ya Novena. ili isaliwe kama sala ya jumuiya nzima yaani Kanisa na si sala binafsi. vyombo vya kupashana habari vimetumika kutoa taarifa kadiri ya mazingira ya sasa.
Shida inatoka wapi hapo?
Unapotoa hoja zako jitahidi kulinganisha Agano la Kale na Agano Jipya. Katika Agano Jipya, maombi ya kujionesha hayakubaliki.Ezra 10:1–17
Waisraeli walipogundua dhambi ya kuoa wake wa mataifa, Ezra alilia na kuomba mbele za Mungu.
Taifa lote liliungana naye, wakalia na kuomba.
Waliamua kukaa na kufanya mchakato wa kutubu na kuachana na wake wa kigeni.
Mchakato huu wa toba ya kitaifa na utekelezaji wake ulidumu siku nyingi (kuanzia mwezi wa tisa hadi mwezi wa kwanza – karibu miezi mitatu).
Sawa dada umeeleweka. Lakini mbona wewe uwa unaswali barabarani na katika viwanja vya mpira mbona watu hawasemi. Kwa hiyo, Muenyezi ua asikii wala hapokei?Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.
Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”
Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.
Halafu anajifanya mlokole kumbe mmbea mmoja tuu...kusema wenzake as if aliwasiliana na Mungu kusikia kama hawasikilizi.
Mtumishi,Nje na ulokole ulio nao ulipaswa uwe mchawi wewe bibi yaani wewe na Bi faiza foxy mnakula kichwa.
Toka enzi na enzi maombi ya namna hiyo(kitaifa/kanisa) yalikuwepo
Na hapa naweka mifano michache tu ....na kulingana na utandawazi wa sasa lazima vyombo vya habari kwa Aina zake vitumike.
1.Kutoka 14 na 15 – Waisraeli walipovushwa bahari ya Shamu, taifa zima lilimwomba na kumsifu Mungu kwa wimbo wa Musa na Miriamu (Kutoka 15:1–21).
2. 2 Mambo ya Nyakati 6–7 – Wakati Sulemani alipozindua hekalu, alisali sala ndefu ya kitaifa kwa niaba ya Israeli lote. Taifa lote lilishiriki ibada hiyo, na Mungu akajibu kwa kuteremsha moto na utukufu wake (7:1–3).
3. Ezra 9 na Nehemia 9 – Baada ya kurejea kutoka utumwani Babeli, watu wote walikusanyika, wakaungama dhambi zao kama taifa na kumwomba Mungu warekebishwe. Hii ilikuwa toba ya pamoja.
4. Yona 3 – Ingawa si taifa la Israeli, tunaona mfano wa taifa lote la Niniwe kufunga na kumwomba Mungu baada ya onyo la Yona, na Mungu akawasamehe.
5. Yoeli 2:15–17 – Nabii Yoeli aliagiza tarumbeta ipigwe ili taifa lote liitwe kwa kufunga na kuomba rehema za Mungu.
Kwa hiyo, maombi ya taifa zima yalikuwa jambo la kawaida hasa wakati wa hatari, dhambi ya kitaifa, au ibada maalum ya agano.
"...BUT THEY WILL NEVER DESCRIBE YOUR FAITH" Not at all, that’s completely off-beat.![]()
1M views · 10K reactions | That last YES !!! #quotes #wisdom #african #reels #africa | Victor Gekpe
That last YES !!! #quotes #wisdom #african #reels #africawww.facebook.com
Unajielewa kweli?Majibu ndiyo hayo nimeambiwa nikupe: tangu ulipoanza novena, sala zako hazijafika mbinguni, zimeishia barabarani na mitandaoni. Na thawabu yako umeishaipata.
Jifunze kutofautisha kuomba na kuhubiri. Yesu alisema waziwazi hadharani kwamba Yeye ndiye njia na kweli na uzima, Yeye ndiye Mlango. Yeye ni Alfa na Omega.... Lakini saa ya kuomba alijiepua na kwenda mlimani mahali pasipo na watu. 😎Kuna sababu gani kila siku kuanzisha nyuzi za mimi ni mtoto wa mfalme kama sio kujionyesha(kama wewe ni mtoto wa mfalme si ungekaa kimya tungeona ufalme wa mzee wako?)
RC wametoa taarifa kwa waumini wao kuhusu novena.Ulitaka hiyo taarifa ifike vipi vigangoni na parokiani au askofu angejifungia jimboni na kuanza novena bila kuwaeleza waumini nini kifanyike?Askofu au mtu yoyote anaweza kufanya hivyo bila kuhabarisha umma lakini hayo yanakuwa maombi binafsi na sio ya wote.
Kwani wakatoliki walikaa kibarazani kwako kuomba? Si walikua kwny nyumba zao za ibada...tena bila vipaza sauti wala maspika......😏😏😏Jifunze kutofautisha kuomba na kuhubiri. Yesu alisema waziwazi hadharani kwamba Yeye ndiye njia na kweli na uzima, Yeye ndiye Mlango. Yeye ni Alfa na Omega.... Lakini saa ya kuomba alijiepua na kwenda mlimani mahali pasipo na watu. 😎
Vigezo na masharti ya sala zinazofika mbinguni viko wazi. By the way, mimi ni balozi wa Yesu. Ni zaidi ya karaniUnajielewa kweli?
Wewe ni nani labda? Wewe mwenyewe unaishi kwa neema...na sio ww unaetoa neema hyo...how come useme sala hazijafika..kwamba na ww ni mmoja wa makarani wa Mungu huko mbinguni...
Umebakia kuqoute vifungu vya biblia ili uonekane unajuuuaaa...kumbe pumba tuu