Ukweli mchungu: Maombi ya kujionesha, hata kama ni ya siku tisa (Novena), Mungu hayasikii

Usiseme "tu" Ongea kwa nafsi yako. Sikuforce mimi, nimekuambia ukweli ili utakapoona uliyoyaomba hayajibiwi ndio ujue ulikosea wapi.
Hakuna ambacho nimesha omba sijajibiwa labda ww ndo huwa hujibiwi...na inaonekana hujajibiwa vingi sana...
 
Japo sio msafi mwenyewe ila siwezi kusimama na kusema sala ya fulani na fulani haijafika mbinguni. Mpokea sala sio Mimi so najuaje haijamfikia? Nitanifunza kuheshimu namna za watu wengine ninaotofautiana nao maana n wao wanaheshimu vya kwangu. Kama ni vita tunapigana vita vya kiroho. Kushika mapanga na kukebehi hakukuongezei chochote bali kunakuchumia dhambi.
Hata malaika wanaopokea maombi kuyawasilisha madhabahuni kwa kuyaweka kwenye ubani hawana mamlaka ya kuamua. Mungu mwenyewe kwa kupitia damu ya Yesu tu ndo anaweza kusema hayo hapana, hayo ndiyo. Kazi ya kuhukumu bado ingalipo kwa Mungu. Kuna siku atampa Yesu ahukumu na Yesu atashea na watakatifu wake ila ikiwa muda bado basi tuheshimu vya watu hata kama vinatukera.
 
Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.

Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”

Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.

Walokole mna shida sana. Nani anayepayuka anaposali, katika makundi yote ya wakristu?
Lugha za vinywa ndio nini?

Mna wivu mbaya sana maana ni waongo wakubwa
 
Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.

Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”

Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.
Lakini kuombea Amani kwa Mkapa Mungu anasikia?!
 
+Uombaji wa kumkamia mtu flani tusiyempenda. Kamwe Mungu hajishughulishi nayo.

Kumbe JF Bado Kuna watu wenye akili.

Nani aliyekamiwa? Nani anayejibu maombi? Nyinyi au Mwenyezi Mungu?
Mbona mnajipa vyeo ambavyo hamna?
 
Mimi ni balozi wa Yesu, sioni aibu kuwaambia watu maagizo ya Yesu.
Maagizo uliyonayo ni kuhubiri habari njema kwa watu wote. Huna maagizo ya kusema sala zenu hazijapokelewa. Hayo ni mamlaka ya Mungu peke yake. Usijipe utukufu wa Mungu wa kupokea maombi ya wanadamu na kuamua.
 
Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.

Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”

Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.
Ahsante ubarikiwe kwa ukwl huu adhimu, umetoa pointi kuntu. RC hawamjui na wapinzani wa Mungu wa kweli ndio maana wanajiita wakristu siyo wakristo kuna tofauti kubwa ktk hayo maneno mawili. Hao wana ajenda yao ya siri, Yesu mwenyewe alisema amri kuu kuliko zote ni upendo sasa hao mashetani wanaohubiri chuki na ubaguzi na Mungu wapi na wapi, matapeli tu hayo
 
Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.

Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”

Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.
Personal secretary wa Mungu Sasa😂😂😂

Tulia watu waonane na boss,ataamua mwenyewe awafukuze au awapokee
 
Kila anayemwamini Yesu ni balozi.
Lakini balozi Hana mamlaka yote. Ndo maana ni ambassador. Kuna mamlaka inabaki kwa Mungu mwenyewe. Ndio maana mamlaka ya kusamehe, kuhuisha anayo yeye. Iweje leo useme sala zao hazijafika? Mwache azikatae mwenyewe. Sisi tuutangaze ufalme wake. Hiyo ndio kazi tuliotiwa.
 
Um
Umeelewa? Maombi ya kujionesha, yenye majivuno na kujitangaza hata kama ni ya muda mrefu, Mungu hayasikii

Maombi anayoyasikia Mungu ni maombi ya faragha, sala inayotoka katika moyo safi na mnyenyekevu, na machozi ya ndani yasiyo na matangazo.

"Lakini wewe unaposali, ingia chumbani mwako[sio mtandaoni], funga mlango [hata members wa JF wasijue] na umwombe Baba yako aliye sirini. Naye Baba yako aonaye sirini atakupa thawabu yako." (Mt 6:6)
Umemaliza kazi mkuu upewe maua yako ingawa wapumbavu watashupaza shingo zao
 
Back
Top Bottom