Ukweli mchungu: Maombi ya kujionesha, hata kama ni ya siku tisa (Novena), Mungu hayasikii

Ukweli mchungu: Maombi ya kujionesha, hata kama ni ya siku tisa (Novena), Mungu hayasikii

Personal secretary wa Mungu Sasa😂😂😂



Tulia watu waonane na boss,ataamua mwenyewe awafukuze au awapokee
Hahaa, kama unambishia "secretary", boss atakupokea kweli?
Mimi ni zaidi ya secretary. Nafanya kazi pamoja na Mungu.
1 Wakorintho 3:9
"Kwa maana sisi tu wafanya kazi pamoja na Mungu..."
 
Lakini balozi Hana mamlaka yote. Ndo maana ni ambassador. Kuna mamlaka inabaki kwa Mungu mwenyewe. Ndio maana mamlaka ya kusamehe, kuhuisha anayo yeye. Iweje leo useme sala zao hazijafika? Mwache azikatae mwenyewe. Sisi tuutangaze ufalme wake. Hiyo ndio kazi tuliotiwa.
Yeye anaona kila kitu duniani. Anawaona hata hao wanaoomba ili kujionesha. Ndio sababu ameniambia niwajulishe kwamba wakiomba kwa kujionesha, sala zao hazifiki mbinguni.
 
Yeye anaona kila kitu duniani. Anawaona hata hao wanaoomba ili kujionesha. Ndio sababu ameniambia niwajulishe kwamba wakiomba kwa kujionesha, sala zao hazifiki mbinguni.

Amewaambia wapi? Mbona mnaanza kuongea kama mna mamlaka ya Mwenyezi Mungu?

Walokole bwana😂😂😂
 
Hahaa, kama unambishia "secretary", boss atakupokea kweli?
Mimi ni zaidi ya secretary. Nafanya kazi pamoja na Mungu.
1 Wakorintho 3:9
"Kwa maana sisi tu wafanya kazi pamoja na Mungu..."
🤔🤔🤔

Rudi ndani mwako utagundua jambo,Kisha nje atakutoa yeye mwenyewe
 
Anayejikweza......wewe unayedharau wakatoliki I hope unaelewa na kumfuata bwana Yesu vile anavyostahili
Chonde chonde usinilishe maneno. Nani amesema nawadharau wakatoliki?
 
Wewe ni mgeni Yerusalemu. Hujui kwanini nimeandika mada hii.
Wenye kiburi ni wale wanaosema "this is a very powerful prayer" na "dini yetu ndio mkombozi wa kweli wa Taifa."
Yerusalem ya kwa Mtogole ama kwa Mkunduge hapo Tandale?
 
Yeye anaona kila kitu duniani. Anawaona hata hao wanaoomba ili kujionesha. Ndio sababu ameniambia niwajulishe kwamba wakiomba kwa kujionesha, sala zao hazifiki mbinguni.
Muache aamue. Hii sio kazi ya mwanadamu. Usiingilie majukumu yasiyokuhusu. Hapo umetoa hukumu kwamba hawajasikilizwa. Kumbuka alichomwambia Elia. Elia alidhani amebaki mwenyewe. Mungu akampa jibu murua, ninao watu elfu saba wasiopiga goti Wala kumsujudia baali. Kama a righteous person like Elia could be proved wrong how about a mere soul like me and you? It is not our place to judge. He has emphasized that again and again. Let us not be like Sadducees and pharisees. They were sitting on the chair of Mosses but doing exactly opposite. We can teach but we can't render judgment.
Ours is to teach, let us teach with all our mighty but judgement is not for us to render.
 
Yeye anaona kila kitu duniani. Anawaona hata hao wanaoomba ili kujionesha. Ndio sababu ameniambia niwajulishe kwamba wakiomba kwa kujionesha, sala zao hazifiki mbinguni.
Sio kosa kuita maombi ya Kitaifa. Mwalimu katoka juzi, Mwamposa anaitishaga mwisho wa mwaka, Mwl Kimaro anaitisha every year wakati wa mwisho wa mwaka na mwanzo wa mwaka.
Wakatoliki wameamua kumuomba Mungu wao. Wameitishana Tanzania nzima kuombea kitu fulani kwa Nia Moja. Wamenia mamoja, Mungu na awe mwamuzi wa either wamemuomba yeye au wamepoteza muda. Kama unewiwa waoombee ila usiwahukumu. Hukupewa Roho ya kuhukumu.
 
Sawa tumekusikia mkurugenzi wa mawasiliani ya 'mungu', mbinguni.​
 
⁷Hii maana yake swala za kupayuka za waislamu Mungu hazisikiiiiiii

Hivi kuna watu wanapayuka na kupiga makelele kutaka kusikika kwa Muslims hakuna
 
Kama wewe haikuhusu unaumia nini mbona Kuna Dua ya kumwombea muhehimiwa raisi imefanyika kwenye miskiti, na makanisa kadhaa hukupandisha uzi hapa
 
Sijazungumzia mambo ya chama hapa. Kama Maandiko huyajui. Soma tu comments za wengine
"Aonaye Sirini atakujazi" hebu muachie huyo aonayesirini. Yeye ndiye aonaye intention ya ndani ya mtu anaye sali. Wala haitaji usaidizi wako kuchambua sala. Nje ya uwezo wako kabisa.

Wewe ni kiumbe, kabla yako watu walisali na baada yako watu wataendelea kusali. Sala ni internal forum. Aonaye ndani ndiye atahukumu ila sisi wewe mwanadamu.
 
Hatuna habari na malopo lopo...mtatukuta pale juu...wale wanaojifanya kuijua kweli kumbe kweli yenyewe sasa hahahaha
 
Back
Top Bottom