Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 36,899
- 73,370
Huna ubalozi zaidi ya kihere here...Vigezo na masharti ya sala zinazofika mbinguni viko wazi. By the way, mimi ni balozi wa Yesu. Ni zaidi ya karani
2 Wakorintho 5:20
Huna ubalozi zaidi ya kihere here...Vigezo na masharti ya sala zinazofika mbinguni viko wazi. By the way, mimi ni balozi wa Yesu. Ni zaidi ya karani
2 Wakorintho 5:20
Wewe ni mgeni Yerusalemu? Hujaona sala inayoitwa "very powerful prayer" iliyowekwa barazani hapa?Kwani wakatoliki walikaa kibarazani kwako kuomba? Si walikua kwny nyumba zao za ibada...tena bila vipaza sauti wala maspika......😏😏😏
Wee kaa na ulokole wako usiforce tufate unachotaka...Wewe ni mgeni Yerusalemu? Hujaona sala inayoitwa "very powerful prayer" iliyowekwa barazani hapa?
Unajuaje kam nilisali?Pole, ngoja nikuache, niwajibu wenye hoja. Wewe endelea na matusi yako halafu uone kama hizo sala zako zitajibiwa
Shida ni kuiita "Very powerful prayer" na kusema "dini yetu ndio mkombozi wa kweli wa Taifa." Hayo ni majigambo. Mungu hasikii sala za wanaojimwambafyKilicho tangazwa ni Taarifa ya ratiba ya kusali sala hiyo ya Novena. ili isaliwe kama sala ya jumuiya nzima yaani Kanisa na si sala binafsi. vyombo vya kupashana habari vimetumika kutoa taarifa kadiri ya mazingira ya sasa.
Shida inatoka wapi hapo?
Basi mungu ni kiziwiNikiandika kwa herufi ndogo hamuelewi? MAOMBI YOYOTE YA KUJIONESHA, MUNGU HAYASIKII, HAIJALISHI WANAOOMBA NI WALOKOLE AU WATU WA ILE DINI INAYOJIVUNA KUWA NDIO BABALAO
Mbona unajipa nafasi ya kuwa Msemaji wa Mungu hapa Duniani? Toka lini maombi au sala au maombi yanayohisisha jumuiya kubwa ngazi ya Taifa ikawa siri?Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.
Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”
Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.
Hao wanachama wa chama uvundoMbona unajipa nafasi ya kuwa Msemaji wa Mungu hapa Duniani? Toka lini maombi au sala au maombi yanayohisisha jumuiya kubwa ngazi ya Taifa ikawa siri?
Una safari ndefu sana kuufikia ukomavu wa kiimani kwa kujiona kuwa wewe ndiye bora na unastahili kuu kuliko wengine. Jifunze unyenyekevu na ondoa hicho kiburi na majivuno na kujitweza
Wewe ni mgeni Yerusalemu. Hujui kwanini nimeandika mada hii.Mbona unajipa nafasi ya kuwa Msemaji wa Mungu hapa Duniani? Toka lini maombi au sala au maombi yanayohisisha jumuiya kubwa ngazi ya Taifa ikawa siri?
Una safari ndefu sana kuufikia ukomavu wa kiimani kwa kujiona kuwa wewe ndiye bora na unastahili kuu kuliko wengine. Jifunze unyenyekevu na ondoa hicho kiburi na majivuno na kujitweza
WEWE NI MUNGU?Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.
Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”
Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.
Utakuwa tomboyUsibadili mada, please
Umetukanwa wapi??? Matusi hata ww hayo ya kudhihaki maombi ya watu ni matusi..Sasa kama hujasali unaingiaje hapa ku-comment? Au unataka kujionesha kuwa unajua kutukana?