Ukweli mchungu: Maombi ya kujionesha, hata kama ni ya siku tisa (Novena), Mungu hayasikii

Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.

Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”

Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.
I used to have respect for you untill I lost jt all today.
Umeanza na kumpangia Mungu tena sala zipi anajibu na zipi hajibu!!!!
Stupidity of the highest order.
 
Walokole kawaida yenu kupingana na kanisa katoliki.
Ila mkizidiwa na kibano mnajitupa kwenye miguu ya maparoko.
 
I used to have respect for you untill I lost jt all today.
Umeanza na kumpangia Mungu tena sala zipi anajibu na zipi hajibu!!!!
Stupidity of the highest order.
My friend, Tokyo48 respect or disrespect from men cannot alter the truth of God’s Word. I did not invent the said principles; Scripture itself declares that prayers offered in hypocrisy or for mere display are not acceptable before the Lord (Matthew 6:5–6, James 4:3). To point out what God has already spoken is not to ‘dictate to Him,’ but simply to echo His own standard. It is neither arrogance nor stupidity to uphold what is written; it is fidelity to the truth.
 
Swali la nyongeza; Hivi wewe ni mwakilishi wa Mungu?...kama sivyo Kaa kwa kutulia watu waomuombe Mungu wao.
 
Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.

Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”

Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.

Mt 6:7-13​

Mt 6:7-13 SUV​

BHNSUVNenoSRUV
Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi. Basi msifanane na hao; maana Baba yenu anajua mnayohitaji kabla ninyi hamjamwomba. Basi ninyi salini hivi; Baba yetu uliye mbinguni, Jina lako litukuzwe, Ufalme wako uje, Mapenzi yako yatimizwe, hapa duniani kama huko mbinguni. Utupe leo riziki yetu. Utusamehe deni zetu, kama sisi nasi tuwasamehevyo wadeni wetu. Na usitutie majaribuni, lakini utuokoe na yule mwovu. [Kwa kuwa ufalme ni wako, na nguvu, na utukufu, hata milele. Amina.]
SUV: Maandiko Matakatifu ya Mungu
 
Asante kwa kuchangia mada.
 
Umeelewa? Maombi ya kujionesha, yenye majivuno na kujitangaza hata kama ni ya muda mrefu, Mungu hayasikii

Maombi anayoyasikia Mungu ni maombi ya faragha, sala inayotoka katika moyo safi na mnyenyekevu, na machozi ya ndani yasiyo na matangazo.

"Lakini wewe unaposali, ingia chumbani mwako[sio mtandaoni], funga mlango [hata members wa JF wasijue] na umwombe Baba yako aliye sirini. Naye Baba yako aonaye sirini atakupa thawabu yako." (Mt 6:6)
Mungu akubariki sana...
Ukimya wa Mungu utawaaibisha.
 
Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.

Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”

Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.
Ikikuuma chomoa. Sisi ndio wakatoliki na tunatamba na ukatoliki wetu.
 
Ubaya ni kwamba kunawanaoomba hadharani na kuna wanaoomba chumbani kwa siri .
 
Hujanielewa. Mada yangu inawahusu wanaoomba novena huku wakijigamba kwa kusema "Kanisa lao ndio mkombozi wa kweli wa Taifa na kwamba sala yao ni "very powerful prayer!" HAYO NI MAJIVUNO
Kuna mahali waliposema utuonyeshe ushahidi? Tamko au waraka?
 
Maombi ya novena ni fiction ya kutuandaa kisaikolojia kwa matukio fulani waliyoyapanga sirini!Ili baadae waseme "Mungu kaamua Tena ugomvi"

Msidanganyike na maombi ya kutangazwa ni fiction tu!!

Waombaji wa kweli hawatangazi!!
 
CCM taabani Novena imeshaanza kujibu! Na bado ikiingia kwa wahusika utaona!
 
Nilikuwa nayaelewa machapisho yako ila kwa hili umepuyanga😭 so sad!
 
Sijazungumzia mambo ya chama hapa. Kama Maandiko huyajui. Soma tu comments za wengine
Kitu nilichoona wewe dada hata mume wako kaingia chaka anatamani atoke ila ndio hivyo tena kashauziwa mbuzi kwenye kiroba cha mkaa
 
Maombi ya novena ni fiction ya kutuandaa kisaikolojia kwa matukio fulani waliyoyapanga sirini!Ili baadae waseme "Mungu kaamua Tena ugomvi"

Msidanganyike na maombi ya kutangazwa ni fiction tu!!
Mm. Weka ushahidi. Vinginevyo utajiingiza kwenye kundi la waongo. Usisahau waongo hawataurithi ufalme wa Mungu
(2 Wakorintho 6:9-10)
 
Back
Top Bottom