Ukweli mchungu: Maombi ya kujionesha, hata kama ni ya siku tisa (Novena), Mungu hayasikii

Wanakesha kuomba Mungu apindue neno lake.
Mbingu na nchi zitapita ila sio neno lake.

Mungu ameshasema haya yatatokea kipindi hiki na ni lazima .
 
Nilikuwa nayaelewa machapisho yako ila kwa hili umepuyanga😭 so sad!
Maana Neno la Mungu li hai, tena lina nguvu, tena lina ukali kuliko upanga uwao wote ukatao kuwili, limechoma hata kuzigawanya nafsi na roho yako, na viungo na mafuta yaliyomo ndani yako; ni jepesi, limeyatambua mawazo na makusudi ya moyo wako (Ebr 4:12)
 
Mungu ameshasema haya yatatokea kipindi hiki na ni lazima
Ni ajabu sana watu wanashindwa kuelewa dalili za kuja kwa Yesu na za mwisho wa dunia. Yesu alisema nyakati hizi maasi yataongezeka...(Mt 24:14). Hivyo huu ni wakati mwafaka wa kuyainua macho yetu juu kwakuwa Mwana wa Adamu amekaribia kuja kutunyakua.
 
Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.

Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”

Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.
Kuna aina tofauti za maombi. Je unataka kusema hata yale maonbi yanayofanywa kwenye uwanja au yanayotangazwa kwenye radio na TV Mungu hasikii? Hiyo unayosema wewe ni maombi ya bibadsi. Yaani una maombi yako binafsi kisha unaenda kuombea barabarani kwenye watu.
 
Maana Neno la Mungu li hai, tena lina nguvu, tena lina ukali kuliko upanga uwao wote ukatao kuwili, limechoma hata kuzigawanya nafsi na roho yako, na viungo na mafuta yaliyomo ndani yako; ni jepesi, limeyatambua mawazo na makusudi ya moyo wako (Ebr 4:12)
Maana Neno la Mungu li hai, tena lina nguvu, tena lina ukali kuliko upanga uwao wote ukatao kuwili, limechoma hata kuzigawanya nafsi na roho yako, na viungo na mafuta yaliyomo ndani yako; ni jepesi, limeyatambua mawazo na makusudi ya moyo wako (Ebr 4:12)
Novena ni kwa wapenda haki mtu yeyote anayeisema hata aweke vifungu vyepi ni wale wale tu😷
 
Umeelewa? Maombi ya kujionesha, yenye majivuno na kujitangaza hata kama ni ya muda mrefu, Mungu hayasikii

Maombi anayoyasikia Mungu ni maombi ya faragha, sala inayotoka katika moyo safi na mnyenyekevu, na machozi ya ndani yasiyo na matangazo.

"Lakini wewe unaposali, ingia chumbani mwako[sio mtandaoni], funga mlango [hata members wa JF wasijue] na umwombe Baba yako aliye sirini. Naye Baba yako aonaye sirini atakupa thawabu yako." (Mt 6:6)
Uelewa wangu mdogo..
"Usihukumu, hiyo ni kazi ya Mungu"
 
Ukiona vita inapiganwa badala ya kusapoti ukaanza ukosoaji kosoaji kwa wenzako ujue una shida sio bure🚮
 
Kuna aina tofauti za maombi. Je unataka kusema hata yale maonbi yanayofanywa kwenye uwanja au yanayotangazwa kwenye radio na TV Mungu hasikii? Hiyo unayosema wewe ni maombi ya bibadsi. Yaani una maombi yako binafsi kisha unaenda kuombea barabarani kwenye watu.
Hakukosea aliyetunga kauli hii: "To speak is not necessarily to be understood." Naelewa sasa kwanini matokeo ya mtihani yakitoka wengine wanapata A, na wengine F, wakati mwalimu wao alikuwa mmoja!
 
Ukiona vita inapiganwa badala ya kusapoti ukaanza ukosoaji kosoaji kwa wenzako ujue una shida sio bure🚮
Pigana na shetani wewe, acha kupigana na watu!
Waefeso 6:12
Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
 
Kutoka kwangu? Kwani hayo Maandiko ni mimi niliyeyatunga?
Tuachane na maandiko kwahiyo kwako wewe hauoni kama ni sahihi, wakatoliki kuwatangazia watanzania wote kuliombea taifa lipate haki, usawa na amani?
 
"Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili yako yote. Hii ndiyo amri kuu na ya kwanza." (Mathayo 22:37-38)
Njo nikuoneshe kuku care,,,,
Kimwili naishi ila we ndo roho yangu...
 
Tuachane na maandiko kwahiyo kwako wewe hauoni kama ni sahihi, wakatoliki kuwatangazia watanzania wote kuliombea taifa lipate haki, usawa na amani?
Wewe naona hujasoma mada vizuri na hujasoma replies zangu zote. Nasikitika sina muda wa kurudia niliyoyaeleza awali. Labda umuombe chatGPT akusaidie ku-summarize yote niliyoongea hapa 🙂
 
Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.

Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”

Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.

Hadi sasa hivi wahuni wako nyuma 3 - 0.

Ukweli mchungu:

IMG_20240428_070927.jpg

Vinginevyo hakutalika wala kulalika!

Tunaendelee na Novena, Mungu mkubwa.

Habari ndiyo hIyo.
 
Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya novena, sala yetu ni very powerful, leo siku ya tatu - tunaomba mfululizo, leo tunahitimisha…” huko ni kujionesha; ni kutaka watu wamwone kuwa ni mtu wa kiroho. Ni sawa kabisa na wanafiki aliowasema Yesu kuwa hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.

Yesu Kristo alisema waziwazi katika Mathayo 6:5:
“Nanyi mnaposali, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu.”

Maombi ya kujionesha, yanaishia barabarani na mitandaoni tu, hayafiki mbinguni. Na mtu anayejionesha tayari amepata thawabu yake. Thawabu yake ni pongezi za watu, ‘likes’ ‘positive comments’ na kuonekana mtakatifu machoni pa wanadamu.
Umewaambia ukweli ona wanavyopanic wewe umeshamaliza kama pembeni shuhudia wanavyotapatapa
 
Wewe naona hujasoma mada vizuri na hujasoma replies zangu zote. Nasikitika sina muda wa kurudia niliyoyaeleza awali. Labda umuombe chatGPT akusaidie ku-summarize yote niliyoongea hapa 🙂
Inaonekana unafurahia yanayofanywa na watawala na kuyafurahia na pengine na wewe ni mnufaika, ndiyo maana umepata muda wa kuwakosoa wakatoliki.
 
Kesho uende kanisani, ukatubu, uokoke, ujifunze Maneno ya Mungu. Kila mtu ana roho yake. Iweje mimi niwe roho yako?!!
Set sikujui kwa sura wala kwa umri ila nakuta moyo wangu unatokea kukubali tuu...
Naomba nielewe
 
Back
Top Bottom