Ukweli na Hoja isiyojadiliwa:- Financially, Ndoa zinaumiza sanaa wanaume

Ndio sio kwa ajili ya Mafala kama wewe. Ndoa inahitaji
1. Mahitaji yako na ya mkeo
2. Kudinda
3. Akili
4. Hekima
5. Subra
SAsa wewe hapo huna hata moja kwanini usione ndoa ni ufala
 
Eleza wewe ubaya wa upande mwingine
 
Binadamu hubadilika ikiwa mmoja wapo kabadilika.....
Usiniambie wewe mume sasa una madili ya mamilion halafu hunimwagi maji??? Uko bize na vimada huna muda wa kukaa na familia? Halafu mie nisibadilike??? Huo ni mfano tu.
Sawa
 
Ndoa ni fraud
 
Karibu, hilo neno sisteri umenikumbusha kitambo...

Nioe/nisioe
Hilo neno tu linaonyeshe kwamba hata kitu unachotaka kufanya hukijui.
Ina maana hauko tayari endelea kusubiri sijawahi kusikia dhambi ya kutokuoa!!!!..
Ikiwa Padre kakatazwa kuoa wewe kihere here cha Nini😜(utani usichukie)
 
Binadamu hubadilika ikiwa mmoja wapo kabadilika.....
Usiniambie wewe mume sasa una madili ya mamilion halafu hunimwagi maji??? Uko bize na vimada huna muda wa kukaa na familia? Halafu mie nisibadilike??? Huo ni mfano tu.

Kuna pisi nimeielewa
Inaniita kaka kaka
 
Rais Mwinyi aliwahi kusema wake wawili ni tiba ya magonjwa sugu na ndo sababu yeye kuishi miaka 80+
Faida kwa mwanaume, Kwa wanawake na watoto polygamy ni hasara kubwa sana mentally & psychologically.

Sijataka kusema kiuchumi angalau kwa case hii ya mzee Mwinyi na nikifahamu fika sio kila mwanamume ni mzee mwinyi.
 
2.Hakuna mwanamke au mwanaume ambae huingia kwenye ndoa na nia ovu,bali ni mazingira ya namna wanavyoishi ndio husababisha migogoro na isipotatuliwa ndio mparaganyiko hutokea.
Sio kweli kabisa. Ndoa ina loopholes nyingi sana ambazo mwanamke akizitumia kama mkakati wa kibiashara anatoboa kimaisha.

Fuatilia kesi za ndoa hakuna mwanamke anaetaka kupatanishwa na mumewe. Kila mwanamke anataka mgao wa mali. Likija suala la talaka kitu cha kwanza kinachokuja kichwani mwa mwanamke ni mgao wa mali. Sio hasara atakayoingia mwanaume, sio kupatanishwa, sio mustakabali wa watoto, ni mgao wa mali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…