Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke anaweza kumwacha handsome man. Utamkwaza atakaa pembeni lakini baada ya muda mfupi atakuhitaji tena.

Hahhaa handsome man! Labda kama unatoka na msichana ila mwanamke anaejitambua awezi date na "handsome man" bali atatoka na mwanaume mwenye mapenzi ya kweli sbb huo uhandsome do not bring food on the table or bed.
 
Utafiti wako umekudanganya. Mimi ntakwambia uhalisia.

Kuna wanaume wawili tu ambao mwanamke hawezi kukubali kuwapoteza kirahisi.
1. Yule anayemridhisha kitandani (Mzingatie huyu)
2. Yule anayetatua shida zake za kifedha ( Anayempa hela)

Tofauti na hapo ni uongo. We kuwa handsome uwezavyo, ila kama huna moja kati ya niliyotaja hapo juu, itafikia tu kipindi kisura chako hicho atakikinai. Atakuona upoupo na wala hatotamani umsogelee kabisa.
 
Niwe handsome nisiwe handsome as long as napewa mzigo I don't care
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…