Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke anaweza kumwacha handsome man. Utamkwaza atakaa pembeni lakini baada ya muda mfupi atakuhitaji tena.

Kaachwa Billgates, Bezos sembuse mvulana anayefanana na mamake
 
Hiyo ilikuwa miaka ya 80's kwa sasa mtu yoyote anaweza kuachwa bila kuangaliwa uhandsamu au pesa zake, wanawake wanataka uhuru usiowasaidia kitu
Hakuna asiyehitaji Uhuru haijalishi unasaidia au hausaidii,,###UhuruTuUnatosha###
 
Mwanaume asiyeweza kuachwa ni yule tu aliyetoa uhuru kwa mke wake,uhuru unaomvumilia mwanamke hata akiwa na boyfriends kwenye ndoa.
Hakuna zawadi kubwa utampa mwanamke kama uhuru wa kufanya yake.Atakupenda daima
 
Kijana unapata wapi muda wa kujadili vitu vya kipuuzi? Huyo mwanamke na watoto watakula hiyo sura sio?
 
Mkuu kuna shida hapo...
Fanya hata mda mwingine kunipa hint..
Kuna mambo yanafanyika sometimes hata hujui huenda nikawa najua nipo sawa kumbe nazingua ety mkuu
Achana nae huyo kijeba, wivu tu unamsumbua!!

Yaani hata mtu kuitwa wizo inaleta nongwa na wivu jamaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ khaaaa

Haya basi yeye ndio awe wizooo shubaamiitii 😱😱😱😱
 
Naona wakina dada wenye mabwana ugly faces wamechachamaa uko juu. Dada zanguni pesa muhimu lakini zingatieni na muonekano hata kidogotu, msije kualibu sura za watoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…