Ukweli ni kwamba Maandamano ya CHADEMA yamefanikiwa kwa 100%

Ujumbe umefika kwa Rais wetu kuna kitu hakipo sawa na naamini atakaa na familia zilizopoteza jamaa ili kupata ufumbuzi.
Na itakuwa ni busara zidi kama hilo linaweza kutokea. Tusifumbie maho tatizo kama lipo lipo na ufumbuzi utafutwe
 
 
Na wewe ulikuwa wapi, si Mbowe alitoa wito hata kwa wasiowanachadema kwamba waandamane? Kwa mantiki hiyo, kwa vile hukushiriki, basi na wewe msaliti au siyo?
 
๐Ÿ—‘๐Ÿšฎ๐Ÿ—‘๐Ÿšฎ๐Ÿ—‘๐Ÿšฎ
Halafu unajiita Akili !!!
Mbogamboga kuna hazina kubwa ya majinga
 
Sisi waislam kila wakati tunatakiwa tuseme ukweli

Jana Chadema imefanikiwa

Kila mtu jana Tanzania na duniani kwa jumla walikuwa wanafatilia siasa za Tanzania.
walikuwa wanaulizana kuna nini na kwanini kuna maandamano?
Jawabu ni simple wanaelezana 1, 2 , 3
Jina la Mbowe linawezekana limetajwa zaidi mara bilioni 1 au mbili. Ikiwa kwa wema au kwa shari. huo ni ushindi kisiasa.
Jina la chadema limeandikwa mara bilioni 2 au zaidi duniani hio ni jana. huo ni ushindi wa 2 kisiasa

Swala la kutoandamana.
Ukiondoa wanafunzi wa vyuo vikuu au waislam hakuna maandamano mengine yaliofanyika Tanzania bara
1. Sio madaktari
2. Sio walimu
3. Sio wakulima
]4 . Sio wafugaji

hii tofauti kabisa na nchi nyengine duniani. Hii ni asili ya Mtanzania, wapo wanaosema uliotengenezwa awamu ya 1.
Chadema walijua hilo na naamini wanajua hilo maana wao ni watz,

Ushindi wa Chadema ni Upi?
Sio kuingia barabarani, Ushindi ni kwamba kwanza yameepushwa maafa ambapo leo Taifa lingalikuwa katika Hamkani, watu wenye chuki na wengine wangalikuwa wanacheka, wanatengeza kesi, wanazomea, wanapanga kufuta vyama, Propganda kila kona, majumba yanvamiwa, masokoni hakukaliki, watu wanafukuzwa kazi, Kesi kila kona, miripuko ya kweli na ya mchongo ingalitengenezwa.
Hongera za pekee zimwendee Rais wa Tanzania kwa jinsi alivyoweza kuzima maandamano kwa njia ya Amani

NITASEMA UKWELI DAIMA, PROPAGANDA KWANGU MWIKO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ