Siku moja nimetoka mwandege huko kufika Mbagala kuna mdaladala DCM ( umechoka mbaya) bila kujali ulipita na bampa kirahisi tu na uzuri kulikuwa na foleni na nipo upande wangu yeye ndio anachepuka!Tatizo la mbagala ni hapa nyuma mbele jalala[emoji445][emoji445]
Kuna jamaa mmoja naye hujisifia kuwa anakaa along Morogoro road, nadhani Mbezi Magufuli au Chama njiapanda kwenda Mlongazila. Nikajisemea hiiiiiii, gete gete nyandaa!!Siku moja nimetoka mwandege huko kufika Mbagala kuna mdaladala DCM ( umechoka mbaya) bila kujali ulipita na bampa kirahisi tu na uzuri kulikuwa na foleni na nipo upande wangu yeye ndio anachepuka!
Abiria wote wanaona niwaache waende tu bahati mbaya [emoji1787] , alitokea mama mmoja mwenye hekima akanifata akaninongoneza " kaka wasamehe tu, nakuelewa sana ila huku? " hapo nikakumbuka nipo maeneo gani.
Dereva alipiga honi nimpishè kama msafara alivyoona sijapisha akapita na bampa kibabe! Sasa huu ukanda wa bagamoyo road pamoja na changamoto za daladala hakuna akili hizi wala daladala zenye akili za namna hii.
Kwa ufupi kuna level ya utaratibu ukizoea ukaenda mitaa iliyojaa uswahili itakupa tabu sana. Ndio maana mtu akipata vijifedha kidogo anaenda kujibanza usawa wa bagamoyo road.
Kuna jamaa mmoja naye hujisifia kuwa anakaa along Morogoro road, nadhani Mbezi Magufuli au Chama njiapanda kwenda Mlongazila. Nikajisemea hiiiiiii, gete gete nyandaa!!
Mpangilio wa makazi Mbagala ni wa hovyo sanaBei ya Viwanja huko Tegeta, Bunju na Boko ni kubwa mno ukilinganisha na Mbagala, lakini linapokuja suala la Mvua Mbagala haina mafuriko kabisa kulinganisha na Tegeta, Bunju na Boko.
Sasa kinachowafanya wengi kukimbilia huko ni nini?
Kati ya eneo lenye kichanga na mfinyanz n wapi pazuri kujenga na kwa nn?Mbagala udongo wake kichanga kama kigamboni
Mbezi bunju mbweni boko nk
Dongo mfinyanzi
Ova
Kwan mbezi/morogoro road kuna shda gan?Kuna jamaa mmoja naye hujisifia kuwa anakaa along Morogoro road, nadhani Mbezi Magufuli au Chama njiapanda kwenda Mlongazila. Nikajisemea hiiiiiii, gete gete nyandaa!!
Alafu haelewi mbagara wakati wa mvua maji yanaondoka na mchanga so nyumba nyingi zinabaki kuwa magorofa yaliyoshikwa na mchanga chini.Mbagala udongo wake kichanga kama kigamboni
Mbezi bunju mbweni boko nk
Dongo mfinyanzi
Ova