Ukweli ni kwamba Mbagala ina ardhi nzuri kuliko Bunju, Tegeta na Msasani

Naam... Ndugu yangu kahama Chamazi, uswahili mwingi 🤣🤣🤣🤣
 
Kusema kweli Sehemu ya maana Dar ni zilizojengwa na mkoloni tu kama Masaki na Obey na posta Kwingine kote ni Mbagala iliyochangamka tu.
 
Leo nimeangalia video moja ya baba askofu Gwajima akituhadai wapiga kura wake nimecheka sana
 
Legos kinyaa
 
Hakunaga mafuriko kabisa, ila mipango miji maeneo yenye miinuko kama kimara, bonyokwa, mbezi hadi kibamba walipakosea sana. Hayo maeneo yangepimwa na mipango miji yangependeza sana, ila hakuko vibaya sababu wauzaji na wanunuzi walijiongeza wenyewe

Hapa nakuunga mkono.
 
Mkuu kiwanja ni bei gani huko?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…