Kwanza haupo makini ndio maana kuoa unaandika kuuwaSasa mtu hana hela unataka aoe ili iweje?
Akioa utailisha wewe hio familia? Wewe ndio wa hovyo. Ndoa ni majikumu sio kutmbn tu.Kuna Hawa vijana wa hovyo kabisa wanajiita kataaa ndoa.
Kwanza anakuambia tafuta hela usioe yeye ana miaka 30 na zaidi hela Hana na kuoa hajaoa!
Sasa inakuwaje kama kuchelewa kuoa ndio kufanikiwa basi wote wenye 30's wawe wanaendesha V8
Vijana wenzangu epukeni zinaaa fanyeni muoa maisha ndio haya haya
Nani aliekuambia kuoa ni hela???una umri Gani wewe?Sasa mtu hana hela unataka aoe ili iweje?
Macho yako yanaona vizuri kweli?Kwanza haupo makini ndio maana kuoa unaandika kuuwa
Rekebisha uandishi kwanza ndio urudi tubishane
Wewe ni mpumbavu sana na Huna logic unaona familia au unaoa mke?Akioa utailisha wewe hio familia? Wewe ndio wa hovyo. Ndoa ni majikumu sio kutmbn tu.
Hamna natumia mikonoMacho yako yanaona vizuri kweli?
Kati ya mke na pesa ya kununua chakula, ni kipi ukikosa utakufa??..Kuna Hawa vijana wa hovyo kabisa wanajiita kataaa ndoa.
Kwanza anakuambia tafuta hela usioe yeye ana miaka 30 na zaidi hela Hana na kuoa hajaoa!
Sasa inakuwaje kama kuchelewa kuoa ndio kufanikiwa basi wote wenye 30's wawe wanaendesha V8
Vijana wenzangu epukeni zinaaa fanyeni muoa maisha ndio haya haya
Kuoa kunahitaji uwe na kiasi gani?Sasa mtu hana hela unataka aoe ili iweje?
Hiyo ndiyo shida...Hamna natumia mikono
Analeta logic za kitotoKati ya mke na pesa ya kununua chakula, ni kipi ukikosa utakufa??..
Tatizo vijana wanachukulia ndoa kama issue inayohitaj maelfu ya fedha ndio ni utayari pekee mengine yanafuataKuoa kunahitaji uwe na kiasi gani?
Gharama za vijana wanazotumia katika uzinifu Kila mwezi ni zaidi hata ya ukiwa kwenye ndoaAkioa utailisha wewe hio familia? Wewe ndio wa hovyo. Ndoa ni majikumu sio kutmbn tu.
Uwe na kipato kitakachotosheleza mahitaji ya yote ya msingi kama mavazi, chakula na malazi bila kusahau mahitaji mwengine ya ziada. Hakuna kiasi cha pesa costant maana mazingira na viwango vya maisha vinatofautiana kwa mtu na mtu...Kuoa kunahitaji uwe na kiasi gani?
Watoto ombaomba wanaletwa bila hata ndoa Tena Bora hata ndoa ni ngumu sana kula Kona maana jukumu utalibebaAcheni kuleta viumbe duniani kuja kuvitesa bure, unakuta watoto ombaomba wengine wanafanya biashara usiku na mchana wa jua kali, MF
Unaongea fact sana mkuu nadhani wewe ni jamii ya kina mshana JrWatoto ombaomba wanaletwa bila hata ndoa Tena Bora hata ndoa ni ngumu sana kula Kona maana jukumu utalibeba
Ukweni pia wanakungoja uwaleeUwe na kipato kitakachotosheleza mahitaji ya yote ya msingi kama mavazi, chakula na malazi bila kusahau mahitaji mwengine ya ziada. Hakuna kiasi cha pesa costant maana mazingira na viwango vya maisha vinatofautiana kwa mtu na mtu...
Basi asilimia nyingi vijana uwezo huo wanaoUwe na kipato kitakachotosheleza mahitaji ya yote ya msingi kama mavazi, chakula na malazi bila kusahau mahitaji mwengine ya ziada. Hakuna kiasi cha pesa costant maana mazingira na viwango vya maisha vinatofautiana kwa mtu na mtu...