Ukweli uliojificha, inakuwaje mtu anakataa kuoa na mafanikio Hana? Kama kutooa mapema ni vizuri kwanini miaka inafika 30 Bado kipato Cha kubangaiza?

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Kuna Hawa vijana wa hovyo kabisa wanajiita kataaa ndoa.

Kwanza anakuambia tafuta hela usioe yeye ana miaka 30 na zaidi hela Hana na kuoa hajaoa!

Sasa inakuwaje kama kuchelewa kuoa ndio kufanikiwa basi wote wenye 30's wawe wanaendesha V8

Vijana wenzangu epukeni zinaaa fanyeni muoa maisha ndio haya haya
 
Akioa utailisha wewe hio familia? Wewe ndio wa hovyo. Ndoa ni majikumu sio kutmbn tu.
 
Kuna Hawa vijana wa hovyo kabisa wanajiita kataaa ndoa.

Kwanza anakuambia tafuta hela usioe yeye ana miaka 30 na zaidi hela Hana na kuoa hajaoa!

Sasa inakuwaje kama kuchelewa kuoa ndio kufanikiwa basi wote wenye 30's wawe wanaendesha V8

Vijana wenzangu epukeni zinaaa fanyeni muoa maisha ndio haya haya
Kati ya mke na pesa ya kununua chakula, ni kipi ukikosa utakufa??..
 
Back
Top Bottom