Kama unakabinti kako hapo home we kitulize. Wajibika kama mzazi, hakuna msaada hapa.Wewe ni mpumbavu sana na Huna logic unaona familia au unaoa mke?
Mke wako kwa siku anakula 10k acha ujinga
Tena ukioa familia za kimasikini ndo kabisa, wanaona kama wao wote wamepata kazi...Ukweni pia wanakungoja uwalee
Hayo ni maoni yako siwezi kukukatalia. Lakini hapo tunazungumzia upande wa kifedha, maamuzi ya kuoa yanaangalia zaidi ya uwezo wa kifedha...Basi asilimia nyingi vijana uwezo huo wanao
Kuna Hawa vijana wa hovyo kabisa wanajiita kataaa ndoa.
Kwanza anakuambia tafuta hela usioe yeye ana miaka 30 na zaidi hela Hana na kuoa hajaoa!
Sasa inakuwaje kama kuchelewa kuoa ndio kufanikiwa basi wote wenye 30's wawe wanaendesha V8
Vijana wenzangu epukeni zinaaa fanyeni muoa maisha ndio haya haya
nakusuport kaka mwishoe watu wakusaidie kumtunza😬😬😬Sasa mtu hana hela unataka aoe ili iweje?
Tatizo ukioa ...wananwake hawataki kuwa watiifu kwa wanaume zaoKuna Hawa vijana wa hovyo kabisa wanajiita kataaa ndoa.
Kwanza anakuambia tafuta hela usioe yeye ana miaka 30 na zaidi hela Hana na kuoa hajaoa!
Sasa inakuwaje kama kuchelewa kuoa ndio kufanikiwa basi wote wenye 30's wawe wanaendesha V8
Vijana wenzangu epukeni zinaaa fanyeni muoa maisha ndio haya haya
Kabisa huna hela usioe utateseka tuuSasa mtu hana hela unataka aoe ili iweje?
Hoja hapa sio kufanikiwa kiuchumi. Kwani nini maana ya kufanikiwa kiuchumi? Kufanikiwa kiuchumi ni long life process.Naandika kidhahania zaidi, sitaki kufanywa hoja.
Siku hizi kuna watu wengi hawawezi kufanya mazungumzo ya kidhahania ya kujadili hoja, ukitoa hoja ya kutetea walioua wasipewe hukumu ya kifo kwa sababu za kifalsafa, wanakuchukulia kuwa wewe ni muuaji ndiyo maana umetoa hoja hiyo, hawajui kujadili hoja kidhahania.
Mimi nilishaoa na kujenga maisha yangu vizuri kiasi changu. So this is not about me. It is about ideas, abstract discussion.
Baada ya kusema hayo.
Kuna namna nyingine ya kuliangalia suala hili.
Naona inawezekana pia ikawa kwamba, kutokuoa si lazima kulete mafanikio ya kiuchumi, kwamba kuna vijana wanajitafuta, hawajaoa, hawajaweza kufanikiwa kiuchumi. Kwa hiyo kutokuoa si guarantee kwamba utafanikiwa kiuchumi.
Lakini kwa mtazamo wao, mtu hatakiwi kuoa kabla ya kufanikiwa kiuchumi.
Kwa hiyo, licha ya ukweli kwamba kutokuoa hakumaanishi mtu atafanikiwa kiuchumi, kwa mantiki yao, kuoa bila kufanikiwa kiuchumi ni tatizo. Kwa sababu kama unakuja kuwa na famikia, utaitunza vioi familia yako bila kuwa na uchumi wa kuweza kuitunza?
Hapo ndipo wanaona kuwa, ni bira kutokuwa na familia kuliko kuwa na famikia halafu huna pa kuiweka, hujui utais9mesha vioi, hujui utailisha vipi.
Yani, wewe mwenyewe uchumi wako mgogoro, sasa uende kuongeza watu zaidi wa kuongeza mgogoro?
Well said.Hoja hapa sio kufanikiwa kiuchumi. Kwani nini maana ya kufanikiwa kiuchumi? Kufanikiwa kiuchumi ni long life process.
Hapa ni ndoa na uchumi kwa mwanaume.
Dhana ya kuoa kwa mwanaume ni kubeba majukumu hasa yakifedha kutoka kwa mkwawake na ukweni kwaujumla. Haiwezekani abadani kuoa pasi kuwa na maandalizi ya kumudu gharama hizo kwa mtoto wa kiume.
Mtoto wa kike yeye anahitaji umri basi, kisha anaingia kwenye ndoa.
Tusitupie vijana wa kiume lawama.
Wanaoleta hoja za kuhamasisha vijana wa kiume kuoa bila kujari hali zao za kiuchumi wana nia hovu.Nakuambia tena kijana wezangu usioe kabla hujajipanga huku mtaani kugumu sana jf hii asilimia kubwa ya watu wa humu wako vzr hawajui maisha ya taabu unaweza ukafiwa mtoto hata hela ya panadol huna,
Na wanawamtako hao wa titok jamaniTujitahidi malaya wapungue, vijana wataoa tu. Wakiendelea kujazana hawa tiktoks women ndoa zitafungwa ila zitavunjika.
Kufanikiwa kiuchumi ni nini?Hoja hapa sio kufanikiwa kiuchumi. Kwani nini maana ya kufanikiwa kiuchumi? Kufanikiwa kiuchumi ni long life process.
Hapa ni ndoa na uchumi kwa mwanaume.
Dhana ya kuoa kwa mwanaume ni kubeba majukumu hasa yakifedha kutoka kwa mke wake na ukweni kwaujumla. Haiwezekani, abadani, kuoa pasi kuwa na maandalizi ya kumudu gharama hizo kwa mtoto wa kiume.
Mtoto wa kike yeye anahitaji umri basi, kisha anaingia kwenye ndoa.
Tusitupie vijana wa kiume lawama.
Sawa.Una hoja.
Umasikini sio kigezo cha kutokuoa kwasababu maskini watakuwepo tu siku zote