Ukweli uliojificha, inakuwaje mtu anakataa kuoa na mafanikio Hana? Kama kutooa mapema ni vizuri kwanini miaka inafika 30 Bado kipato Cha kubangaiza?

Kuna Hawa vijana wa hovyo kabisa wanajiita kataaa ndoa.

Kwanza anakuambia tafuta hela usioe yeye ana miaka 30 na zaidi hela Hana na kuoa hajaoa!

Sasa inakuwaje kama kuchelewa kuoa ndio kufanikiwa basi wote wenye 30's wawe wanaendesha V8

Vijana wenzangu epukeni zinaaa fanyeni muoa maisha ndio haya haya

Naandika kidhahania zaidi, sitaki kufanywa hoja.

Siku hizi kuna watu wengi hawawezi kufanya mazungumzo ya kidhahania ya kujadili hoja, ukitoa hoja ya kutetea walioua wasipewe hukumu ya kifo kwa sababu za kifalsafa, wanakuchukulia kuwa wewe ni muuaji ndiyo maana umetoa hoja hiyo, hawajui kujadili hoja kidhahania.

Mimi nilishaoa na kujenga maisha yangu vizuri kiasi changu. So this is not about me. It is about ideas, abstract discussion.

Baada ya kusema hayo.

Kuna namna nyingine ya kuliangalia suala hili.

Naona inawezekana pia ikawa kwamba, kutokuoa si lazima kulete mafanikio ya kiuchumi, kwamba kuna vijana wanajitafuta, hawajaoa, hawajaweza kufanikiwa kiuchumi. Kwa hiyo kutokuoa si guarantee kwamba utafanikiwa kiuchumi.

Lakini kwa mtazamo wao, mtu hatakiwi kuoa kabla ya kufanikiwa kiuchumi.

Kwa hiyo, licha ya ukweli kwamba kutokuoa hakumaanishi mtu atafanikiwa kiuchumi, kwa mantiki yao, kuoa bila kufanikiwa kiuchumi ni tatizo. Kwa sababu kama unakuja kuwa na famikia, utaitunza vioi familia yako bila kuwa na uchumi wa kuweza kuitunza?

Hapo ndipo wanaona kuwa, ni bira kutokuwa na familia kuliko kuwa na famikia halafu huna pa kuiweka, hujui utais9mesha vioi, hujui utailisha vipi.

Yani, wewe mwenyewe uchumi wako mgogoro, sasa uende kuongeza watu zaidi wa kuongeza mgogoro?
 
Tatizo ukioa ...wananwake hawataki kuwa watiifu kwa wanaume zao
 
Hoja hapa sio kufanikiwa kiuchumi. Kwani nini maana ya kufanikiwa kiuchumi? Kufanikiwa kiuchumi ni long life process.

Hapa ni ndoa na uchumi kwa mwanaume.

Dhana ya kuoa kwa mwanaume ni kubeba majukumu hasa yakifedha kutoka kwa mke wake na ukweni kwaujumla. Haiwezekani, abadani, kuoa pasi kuwa na maandalizi ya kumudu gharama hizo kwa mtoto wa kiume.

Mtoto wa kike yeye anahitaji umri basi, kisha anaingia kwenye ndoa.

Tusitupie vijana wa kiume lawama.
 
Dhana ya kuoa kwa mwanaume ni kubeba majukumu hasa yakifedha kutoka kwa mkwawake na ukweni kwaujumla. Haiwezekani abadani kuoa pasi kuwa na maandalizi ya kumudu gharama hizo kwa mtoto wa kiume.

Mtoto wa kike yeye anahitaji umri basi, kisha anaingia kwenye ndoa.

Tusitupie vijana wa kiume lawama.
Well said.
Mwanamke yeye anakija kwako kutanua mipaja yake tuu.
Wee mume ndio ulipe ada, ujenge wewe umpendezeshe wewe
Wakwe uwahudimie wewe.
So pesa ndio nambari one factor kwa ndoa....huna hela bora ue delee na nyeto ya mlenda vuguvugu
 
Nakuambia tena kijana wezangu usioe kabla hujajipanga huku mtaani kugumu sana jf hii asilimia kubwa ya watu wa humu wako vzr hawajui maisha ya taabu unaweza ukafiwa mtoto hata hela ya panadol huna,
Wanaoleta hoja za kuhamasisha vijana wa kiume kuoa bila kujari hali zao za kiuchumi wana nia hovu.

Mathalani nyumbani kwao kuna mabinti hawajaolewa kwahio wanawatafutia ajira.
 
Una hoja.

Umasikini sio kigezo cha kutokuoa kwasababu maskini watakuwepo tu siku zote
 
Hoja hapa sio kufanikiwa kiuchumi. Kwani nini maana ya kufanikiwa kiuchumi? Kufanikiwa kiuchumi ni long life process.

Hapa ni ndoa na uchumi kwa mwanaume.

Dhana ya kuoa kwa mwanaume ni kubeba majukumu hasa yakifedha kutoka kwa mke wake na ukweni kwaujumla. Haiwezekani, abadani, kuoa pasi kuwa na maandalizi ya kumudu gharama hizo kwa mtoto wa kiume.

Mtoto wa kike yeye anahitaji umri basi, kisha anaingia kwenye ndoa.

Tusitupie vijana wa kiume lawama.
Kufanikiwa kiuchumi ni nini?

Na wapi nimewatupia vijana wa kiume lawama?

Unasema hoja hapa si kufanikiwa kiuchumi, halafu unasema "hapa ni ndoa na uchumi kwa mwanaume" sasa unakataa nini halafu unakubali nini?

Huo uchumi unaousema kwa mwanaume ni upi, ni wa kutofanikiwa?
 
Una hoja.

Umasikini sio kigezo cha kutokuoa kwasababu maskini watakuwepo tu siku zote
Sawa.

Lakini watu wasiotaka kuoa kwa sababu wanajiona wao ni masikini na hawataki kuoa na kuendeleza umasikini zaidi kwenye ndoa zao wana hoja.

Kuna watu wamekubali wao ni masikini, wamejikuta duniani tayari, masikini, labda wamezaliwa familia masikini na hawana ujanja wa kutoka kwenye umasikini, hilo hawana control nalo.

Lakini wamekataa kuoa na kuwaleta viumbe wengine hapa duniani, watoto, na kuwaweka kwenye mazingira ya kuendelea kwenye umasikini, kujikuta wamezaliwa kwenye familia masikini kama wao.

Utapinga vipi hoja ya mtu kama huyo?
 
Back
Top Bottom