Ukweli umebainika : Ndege za Marekani zilifanya Udanganyifu katika kulipua Vinu vya Nyuklia Iran

HATA USA AMEKUWA MTU WA KUVIZIA VIZIA,SIKU HIZI VITA ZIMEKUWA NGUMU KWELI AISE
 
Safi sana umeandika fasihi fikirishi...
 
HATA USA AMEKUWA MTU WA KUVIZIA VIZIA,SIKU HIZI VITA ZIMEKUWA NGUMU KWELI AISE

Imenishangaza. Wanaenda kupiga mabomu wakati wenzao tunapumzika. Waje mchana sasa waone moto. Wameturabua ila kwa mbinde sana.
 
Nenda kambi yoyote ya jeshi jirani yako usiku kwa kuvizia halafu ukafanye uhalifu kama hoja ni kulala halafu utupe mrejesho
enda
 
Ila una akili fupi sana kwa hiyo wanajeshi wa Iran usiku huwa wanalala wote kipindi hiki cha vita?? Kweli kobazz mmevurugwa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Marekani kuingia tu Vita imeisha yani hakuna Taifa linaweza kinzana na Marekani kwa hii Dunia
 
Ila una akili fupi sana kwa hiyo wanajeshi wa Iran usiku huwa wanalala wote kipindi hiki cha vita?? Kweli kobazz mmevurugwa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Hakuna vita ya kuwafanya wasilale. Na vita inapiganwa mchana siyo kufizia watu wakiwa wanalala. Hilo ni jambo baya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…