barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Kama nalo litategemea maji bhasi mgao badobupo upo sana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongelea kadilio wakati mradi uanelekea kuisha? Sasa hivi ongelea actual.Kadirio mwanzo kabisa wa huo mradi ilikuwa ni $3.5b. sasa piga hiyo bei kwa sasa baada ya vifaa na dola kupanda na +VAT kisha uje uendelee na mjadala.
Ndio umeiandika Nini?Mjane acha kulialia kwani ni wewe pekee yako ndo mjane? Mfare huko umsaidie kukusanya kuni mbanikwe pamoja
JNHPP, SGR ni miradi ya nchi siyo ya mtu. Ni miradi iliyoanza tangu zama za Mwalimu. Kila awamu ya uongozi wa nchi yetu ilitimiza wajibu wake kwa kadri ya uwezo wake.Unataka kujenga nchi sio kubomoa nchi,LAKINI ujenzi wa nchi unahitaji maamuzi sahihi na salama kwa maslahi mapana ya nchi yetu.
Haya mambo ya one man show ni usiku wa giza.
Unaongelea kadilio wakati mradi uanelekea kuisha? Sasa hivi ongelea actual.
Ushakuwa mweupe kabisa wewe.
Wee nakuamuru ni amri mfuate hawara yako huko kuzimu umsaidie kukusanya kuni mbanikwe pamoja badala ya kulialia hovyo hovyo humu jamvin.Ndio umeiandika Nini?
JF itabidi iww inafuta memba wa hovyo kama wewe.
Toka tunapata uhuru mafisadi wamekuwa wakitupiga sana kwenye nishati.Kuna watu watalaaniwa kwa kuwa upande wa shetani kupinga huu mradi. Huu mradi utatukwamua na kuwa huru kwenye energy!
Hiyo gesi itafanya biashara nyingine lakini umeme wa bwawa la Nyerere utakuwa wa Watanzania asilimia 100 na hakuna atayetupangia bei! Tumejenga kwa fedha zetu wenyewe! Ukiwa huru kwenye energy utakuwa huru kwenye mengi pia.
Gesi iendelee na PPP ifanye biashara, tena wenzetu Kenya wameomba tupeleke gesi kwao! Tuanzie hapo.
Una hoja lakini umeiwakilisha kisiasa zaidi kuliko kitaalamu. Kitaalamu ungeweka takwimu kwenye hoja zako badala ya blaablaa. Km gharama za kuendesha mitambo ya kufua umeme kwa gesi / maji au usalama (uzalishaji endelevu) kwa mitambo ya gesi / maji. Je, umefanya tathmini ya faida/hasara ya kimazingira ya ufuaji na usambazaji wa umeme wa gesi / maji?LEO Rais Samia Suluhu Hassan, atakuwa mgeni rasmi katika tukio la kujaza maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP). Hatua muhimu kwenda kuzalisha umeme.
JNHPP itakuwa na uwezo wa kufua umeme megawati 2,100 na kuuingiza gridi ya taifa kila siku. Hatua kubwa kuelekea nchi kujitosheleza katika nishati ya umeme.
Kukamilika kwa JNHPP bila shaka utakuwa mwanzo wa kupotea kwa hisia na maneno kuwa mradi huo ulikuwa unahujumiwa usifike mwisho. Muda ni tiba thabiti.
Pamoja na kipengele hicho chanya, upo ukweli ambao si Rais Samia Suluhu Hassan wala Waziri wa Nishati, January Makamba, wanaweza kuusema.
Kwamba JNHPP ni mradi ambao hawakuwa na namna zaidi ya kuukamilisha kwa sababu waliukuta umeshakaribia nusu na tayari ulishateketeza fedha nyingi za Watanzania.
Ukweli ni kuwa mradi wa JNHPP ulikuwa uamuzi wa hovyo kuwahi kutokea. Kwanza unakuja na athari kubwa ya kimazingira. Ushauri wa wataalamu ulipuuzwa. Mradi ukajengwa kwa kulazimisha.
Karibu miti milioni tatu imekatwa. Eneo la msitu la kilometa za mraba 1,500 limeharibiwa (deforestation).
Yaani, Serikali iliamua kujenga mradi wa umeme wa maji kwa kuharibu vyanzo vya maji.
Hivi sasa kuna mabadiliko ya tabia nchi. Mvua hazinyeshi. Mto Rufiji umekuwa mkavu. Je, sio athari za kuharibu msitu wa Selous.
Mtangulizi wa Rais Samia, Dk John Magufuli, alipoingia madarakani, alikuta mradi mkubwa wa gesi Mtwara. Nchi ilikuwa ina tabasamu kuelekea uchumi wa gesi.
Fedha zaidi ya Sh11 trilioni zilizotumika kujenga JNHPP, nusu yake tu ungewekezwa kwenye gesi Mtwara, sasa hivi nchi ingekuwa na umeme wa gesi, nishati ya kupikia ya gesi na kufanya mauzo ya gesi nje ya nchi. Tungeepuka janga la vita ya Ukraine na Urusi.
Umeme wa gesi ndio wa kisasa. Umeme wa maji sio wa uhakika. Ndio maana mara kwa mara nchi ikitetereka kidogo kupata mvua, umeme unakuwa shida.
Changamoto ya umeme wa maji na kukauka kwa mabwawa ya kuzalishia umeme ndio matokeo ya nchi kuingia mikataba ya hovyo ya IPTL na Richmond kwa sababu ya uhitaji wa umeme wa dharura.
Pamoja na kutambua hayo, bado Serikali ya Magufuli ikafanya uamuzi wa kujenga mradi wa umeme wa maji.
Maswali ni mengi mno, unawezaje kujenga mradi wa umeme wa maji katika nchi ambayo tayari ina gesi ya kutosha?
Kuutelekeza mradi wa gesi Mtwara, ilikuwa kumkomoa nani? Hii hulka ya Rais akiingia madarakani anatelekeza miradi ya mtangulizi wake inaumiza mno wananchi.
Ingekuwaje Rais Samia angeamua kutoendelea na JNHPP? Fedha za Watanzania zingetolewa maelezo gani? Yatolewe maelezo ya kutelekezwa gesi Mtwara na miradi mingine yote ambayo ipo njiani miaka saba sasa.
Mwisho tuhoji; miti milioni tatu iliyokatwa Msitu wa Selous kupisha mradi wa JNHPP, ilipelekwa wapi? Iliuzwa? Fedha ilikwenda wapi? Uchunguzi maalum unahitajika katika hili.
Kuna harufu kubwa ya ufisadi wa miti milioni tatu iliyokatwa Selous.
Ndimi Luqman MALOTO
View attachment 2454151View attachment 2454152
LEO Rais Samia Suluhu Hassan, atakuwa mgeni rasmi katika tukio la kujaza maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP). Hatua muhimu kwenda kuzalisha umeme.

Kukata miti million 3, kwenye square meters za maraba 1,500 huo ni uongo.LEO Rais Samia Suluhu Hassan, atakuwa mgeni rasmi katika tukio la kujaza maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP). Hatua muhimu kwenda kuzalisha umeme.

Baada ya wewe mwenyewe kufundishwa na kujua namna ya kuattach kule kwa wakenya naona ushakua mwl sasa 😀Jifunze ku attach hizo picha vizuri.
Anyway watakuja na blaa blaa za kusema gas imeuzwa na umeme wa gas Ni ghali Sana 😂😂.
Ila Hilo bwawa ni expensive Sana kuliko uhalisia wake.Til.11 Ni Pesa nyingi Sana aisee..
Kwani ulikua wapi wakati Maghufuri anasema Gesi ya Kusini sio yetu tena!?LEO Rais Samia Suluhu Hassan, atakuwa mgeni rasmi katika tukio la kujaza maji kwenye Bwawa la Kuzalisha Umeme la Julius Nyerere (JNHPP). Hatua muhimu kwenda kuzalisha umeme.
JNHPP itakuwa na uwezo wa kufua umeme megawati 2,100 na kuuingiza gridi ya taifa kila siku. Hatua kubwa kuelekea nchi kujitosheleza katika nishati ya umeme.
Kukamilika kwa JNHPP bila shaka utakuwa mwanzo wa kupotea kwa hisia na maneno kuwa mradi huo ulikuwa unahujumiwa usifike mwisho. Muda ni tiba thabiti.
Pamoja na kipengele hicho chanya, upo ukweli ambao si Rais Samia Suluhu Hassan wala Waziri wa Nishati, January Makamba, wanaweza kuusema.
Kwamba JNHPP ni mradi ambao hawakuwa na namna zaidi ya kuukamilisha kwa sababu waliukuta umeshakaribia nusu na tayari ulishateketeza fedha nyingi za Watanzania.
Ukweli ni kuwa mradi wa JNHPP ulikuwa uamuzi wa hovyo kuwahi kutokea. Kwanza unakuja na athari kubwa ya kimazingira. Ushauri wa wataalamu ulipuuzwa. Mradi ukajengwa kwa kulazimisha.
Karibu miti milioni tatu imekatwa. Eneo la msitu la kilometa za mraba 1,500 limeharibiwa (deforestation).
Yaani, Serikali iliamua kujenga mradi wa umeme wa maji kwa kuharibu vyanzo vya maji.
Hivi sasa kuna mabadiliko ya tabia nchi. Mvua hazinyeshi. Mto Rufiji umekuwa mkavu. Je, sio athari za kuharibu msitu wa Selous.
Mtangulizi wa Rais Samia, Dk John Magufuli, alipoingia madarakani, alikuta mradi mkubwa wa gesi Mtwara. Nchi ilikuwa ina tabasamu kuelekea uchumi wa gesi.
Fedha zaidi ya Sh11 trilioni zilizotumika kujenga JNHPP, nusu yake tu ungewekezwa kwenye gesi Mtwara, sasa hivi nchi ingekuwa na umeme wa gesi, nishati ya kupikia ya gesi na kufanya mauzo ya gesi nje ya nchi. Tungeepuka janga la vita ya Ukraine na Urusi.
Umeme wa gesi ndio wa kisasa. Umeme wa maji sio wa uhakika. Ndio maana mara kwa mara nchi ikitetereka kidogo kupata mvua, umeme unakuwa shida.
Changamoto ya umeme wa maji na kukauka kwa mabwawa ya kuzalishia umeme ndio matokeo ya nchi kuingia mikataba ya hovyo ya IPTL na Richmond kwa sababu ya uhitaji wa umeme wa dharura.
Pamoja na kutambua hayo, bado Serikali ya Magufuli ikafanya uamuzi wa kujenga mradi wa umeme wa maji.
Maswali ni mengi mno, unawezaje kujenga mradi wa umeme wa maji katika nchi ambayo tayari ina gesi ya kutosha?
Kuutelekeza mradi wa gesi Mtwara, ilikuwa kumkomoa nani? Hii hulka ya Rais akiingia madarakani anatelekeza miradi ya mtangulizi wake inaumiza mno wananchi.
Ingekuwaje Rais Samia angeamua kutoendelea na JNHPP? Fedha za Watanzania zingetolewa maelezo gani? Yatolewe maelezo ya kutelekezwa gesi Mtwara na miradi mingine yote ambayo ipo njiani miaka saba sasa.
Mwisho tuhoji; miti milioni tatu iliyokatwa Msitu wa Selous kupisha mradi wa JNHPP, ilipelekwa wapi? Iliuzwa? Fedha ilikwenda wapi? Uchunguzi maalum unahitajika katika hili.
Kuna harufu kubwa ya ufisadi wa miti milioni tatu iliyokatwa Selous.
Ndimi Luqman MALOTO
View attachment 2454151View attachment 2454152
Luqman maloto ni takataka tu inayolipwa vilaki laki kufanya propaganda za hovyo hovyo dhidi ya mwamba JPM.Maloto ni sehemu ya project au kiwanda maalum cha matusi kwa JPM. Hawa hata kwa mama Samia wanaishi nae kinafiki lakini wana ajenda zao.
Nimekusoma hadi hapo katikati, roho ikanichefuka na kutaka kutapika.Mwisho tuhoji; miti milioni tatu iliyokatwa Msitu wa Selous kupisha mradi wa JNHPP, ilipelekwa wapi? Iliuzwa? Fedha ilikwenda wapi? Uchunguzi maalum unahitajika katika hili.
Kuna harufu kubwa ya ufisadi wa miti milioni tatu iliyokatwa Selous.
Ndimi Luqman MALOTO
Huna gas ww? Kipindi kile bungeni uliambiwa umeme ukizalishwa kwa kutumia gas, bei zitashuka vip tokea waanze kuzalisha umeme wa gesi Cost per unit imeshuka?Ni hatua gani wamechukuliwa waliongia mkataba wa hiyo gas mnayosema imepigwa? Mbona kila siku mnasema wapinzani wakichukua nchi wataiuza kwa wageni, inakuwaje CCM tayari wameshaiuza na bado wako madarakani?
Tunataka maelezo na hatua stahiki kuhusu waliouza gas, na sio kutuambia gas imeshauzwa kisha iwe ndio basi. Hakuna namna mtatuambua uharibifu wa mazingira ni maamuzi sahihi, wakati gas yetu ipo.