Ukweli usemwe: Aliyeharibu nchi hii ni Mwalimu Nyerere kwa kushindwa kuwapa Watanzania Elimu

Alimtesa Oscar Kambona bila sababu.
 
Kitu gani Oscar alimkosea Nyerere mpaka huo utu wake unao uzungumzia kupotea ?
 
Siyo kweli;ilikuwa ni mazingira tofauti sana kati ya nezi za Nyerere na enzi za leo. Ungewapa JPM na Samia kutawala nchi hii enzi za Nyerere huenda ingewashinda kabisa.
Sawa, hebu tuelezo hayo 'mazingira' yaliyopelekea yeye kushindwa kabisa kuelimisha wananchi wae
 
Nyerere alikaa madarakani miaka 24, na kati ya hiyo 24, mmoja ulikuwa ni chini ya Malkia, na mwingine miwili kabla ya Muungano, kwa hiyo effective term yake ilikuwa ni miaka 21 tu.
Hiyo miaka 21 michache ?
 
Kipindi cha Nyerere mpaka anang'atuka literacy rate ilikuwa chini ya 50%. Hapa unasemaje?
Uwongo; literacy rate ya mwaka 1984 ilikuwa zaidi ya 80% Usitunge data kujifurahisha. Mimi niliwahi kutumiaka kufundisha elimu ya watu wazima kwenye kipindi cha Nyerere wakati nikiwa mwanafuzi wa sekodari, na ninajua jinzi wazee walivyowekza kujua kusoma na kuandika. **** umeangal;ia video ya Amini kabla ya vita ya Kagera kuanza, alikabidhiwa kitabu kilichotekwa na askari wake ambacho kilikuwa kitatumika katika elimu ya watu wazima Tanzania wakati huo.

 
Kwa lipi alilolifanya
Soma kuhusu Kambona baada ya Tanganyika kupata uhuru.
Alikuwa waziri wa elimu wa kwanza.

Kisha alimshauri Nyerere asiue vyama vya siasa kuwe na vyama vingi. Lakini Nyerere alikasilika na kumuita Oscar Kambona kuwa ni mhaini.

Aliwafunga ndungu wa Kambona. Kambona alikimbia nchi.
 
Hiyo miaka 21 michache ?
Ameoandoka madarakani takriban miaka 45 sasa, bado unamlalamikia? Nyerere aliondoka madarakani miaka kumi kabla ya vita ya Kimbali ya Rwanda. Leo Rwanda imesimama imara kuliko Tanzania halafu watu wa aina yako mnaamka usingizini kusema ni kwa sababu ya Nyerere. JPM alijitahidi kutuweka sawa lakini sasa tunarudi kule kule kwenye mambo ya uswahili wa kulalamika na kutafuta misaada.
 
Sasa mzee wangu unaweka hiyo screenshot haijulikani hata umeitoa wapi. Unazozifanya hapa ni cheap propaganda.

Kizazi cha sasa hakidanganywi kivyo. Weka source ya taarifa zako watu waweze evaluate. Unaogopa nini?
 
Kama hujui legacy ya Nyerere bora ukae kimya. Hiki ndio kile kizazi ambacho hata Nyerere mwenyewe mmemsikia kwenye tv.

Unafahamu vyuo vikuu vya serikali isipokuwaUDOM tu alijenga yeye. UDSM, SUA, Mzumbe, CBE, vyuo vingi vya ufundi Moshi Tech, Dar Tech, ArushaTech n.k

Unafahamu vyuo na taasisi za utafiti nchi nzima Maruku(Kagera), Lyamungo (Moshi), Ukirguru(mwanza) Uyole (Mbeya), Naliendele, Katrini, selian, n.k

Unafahamu shule zote za secondary za serikali zilizokuwepo kabla ya mkapa kuanza kujenga alijenga Nyerere over 200,

Unajua shule za msingi zilizokuwepo kabla ya mkapa alijemga Nyerere.

Unafahamu wakati wa nyerere Darasa moja lilokua watotohawazidi 45 na hakuna mtoto aliyekaa chini

Unajua wakati wa nyerere hakukuwa na ada, watoto walisoma bure na walikula shule na vitabu na madaftari walipewa bure kila mtoto.

Unatambia literacy level ilifikia 82% kutoka less tha 10% wakati tunapata uhuru

Some literature, vyuo vikuu vyetu vilikua vinaongoza Africa kwa ubora wa elimu

Mapungufu yameanza baada ya kuingia warith wake.

Sijui kwa nini umeamua kumbagaza huyu mzee wakati ndio aliyepigania elimu kwa kiwango cha juu sana. Na ameandika maandiko mengi sana kuonyesha umuhimu wa kukuza elimu.

Kama hijamsoma nyerere uaipende kutoa lawama kwa usiolijua
 
Unataka makosa yake yasisemwe ili liwe funzo. dogo umeazimisha kichwa ?
 
Sasa mzee wangu unaweka hiyo screenshot haijulikani hata umeitoa wapi. Unazozifanya hapa ni cheap propaganda.

Kizazi cha sasa hakidanganywi kivyo. Weka source ya taarifa zako watu waweze evaluate. Unaogopa nini?
Kama huwezi kufanya research usitoe hoja. Iwapo hata huwezi kujua hiro screenshot imetokana na document gani, basi huna authority ya kusema kuwa literacy rate wakati wa Nyerere ilkikuwa ya chini kwani ni wazi hujafanya marejeo ya kutosha. Nenda katafute records za UNICEF na UNESCO ndipo ulete hoja hapa.
 
Marehemu hasemwi😁😁😁
 
JPM aliwaweka sawa wewe na ukoo wako. Au wewe ni mnufaika wa uchafuzi wa kidikteta wa 2020 wa zimwi ?
 
Unataka makosa yake yasisemwe ili liwe funzo. dogo umeazimisha kichwa ?
Cheap scapegoats. Iwapo Nyerere angekuwa Mwislamu, most likely usingengekwenda miaka 45 nyuma nyuma kumtafuta wa kumlaumu. Lawama kwa nyerere huwa zinapamba moto sana wakati Rais akiwa mwislamu; dini inasukumiza sana kudumaza mawazo na maono ya watu.
 
Sijui kama ni wewe kweli, lakini potelea mbali, imenilazimu nitoe 'like' tu.

Jambo la muhimu kwa nchi yetu hii ni kuwa wakweli tu wa nafsi zetu, bila kujali maslahi ya mtu mmoja mmoja au kundi maalum na kuanza kuuacha ukweli huo.

Hapa naona ulichoandika ni ukweli mtupu, lakini inafaa nikukumbushe, huyo uliyemjibu wewe katika hili, jitazame mwenyewe pia katika lile jingine lililoteka akili yako yote kwa sababu malum uzijuazo mwenyewe.
 
JPM aliwaweka sawa wewe na ukoo wako. Au wewe ni mnufaika wa uchafuzi wa kidikteta wa 2020 wa zimwi ?
Ninajua huwezi kumkubali lakini JPM aliiweka nchi sawa sana. Wewe ni mmoja kati ya watu ambao wako biased kwa hiyo huwezi kuona ukweli ukoje iwapo ukweli huo hauko kwenye lines za imani yako! History will tell.
 
Cheap scapegoats. Iwapo Nyerere angekuwa Mwislamu, most likely usingengekwenda miaka 45 nyuma nyuma kumtafuta wa kumlaumu. Lawama kwa nyerere huwa zinapamba moto sana wakati Rais akiwa mwislamu; dini inasukumiza sana kudumaza mawazo na maono ya watu.
Kwa akili zako zilizo oza hapa kuna mtanange kati ya muslims vs christians, muslims leaders vs christians leaders. Umevuta bangi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…