Ukweli usemwe: P Funk ndio mtu mnyonyaji zaidi kuwahi tokea kwenye historia ya Bongofleva

Ukumbuke Prof J alilipia hiyo midundo ndipo akafanyia wimbo na pia Majani hakutengeza beats peke yake mainly yeye hufanya mastering na mixing lakini beats hutengenezwa(HUBUNIWA) na watu wengine ambao zaidi ya wanacholipwa papo kwa papo huwa hawafaidiki kwa ubunifu wao.
Nadhani mfumo mzima unahitaji overhaul ili intellectual rights zifaidishe wote kuanzia waandishi, watengeneza midundo na kila aina ya muhusika.
Mtu anapokuwa hana mbele wala nyuma anasaini mkataba wa aina yoyote driving force ikiwa ni njaa zake.
 
Mzee wa Kino naona unacomment kwa vijana
Napitia cmnt tu humu mzee
Ila sinaga shobo na wasanii
Maana hata hivyo hela yao haina
Msaada kwa jamii zaidi ya kuwa nyari mashabiki zao...
Acha wanyooshane tu

Ova
 
P ndio mmiliki wa nyimbo za Ngwea anakula kama mmiliki Ngwea hakuwai kumiliki nyimbo zake.. mfano Mikasi na She gotta gwan ni mali ya P Funk popote pale zitapoingiza hela iwe digital, advert au filamu
 
Unyonyaji ni mbaya lakini imagine hawa wasanii wanawatoa wapi? From nothing hadi mtu anamiliki label then awe ameibiwa? Products za WCB sio tu wametolewa kimuziki lakini pia wanakuwa wahitimu wa industry ya muziki ndio maana hawayumbi. Enzi hizo Bongo Rec wakikutema unarudi zero hata namba za wadau huna! Muziki ni biashara sio msaada, ratio ya 40/60 ni very fair. Labda kama sijaelewa Khalifan alimaanisha nini.
 
P ndio mmiliki wa nyimbo za Ngwea anakula kama mmiliki Ngwea hakuwai kumiliki nyimbo zake.. mfano Mikasi na She gotta gwan ni mali ya P Funk popote pale zitapoingiza hela iwe digital, advert au filamu
Dogo wewe umezaliwa mwaka 2003 alafu unakuja kuwaelezea mabraza wa 70's kuhusu khalifan majani😂

Nikuelekeze tu as per copyrights majani anachukua % kwenye kila nyimbo ya msanii yeyote akiwepo ngwea aliyemrekodia under his lebel bila malipo as mmiliki, mtayarishaji na mbunifu wa midundo, na % ya msanii inaenda kwa msanii.
Kama hujui % za Ngwea baada ya mifumo kuwa rasmi zinaelekezwa kwa Mama yake Mzazi.

NB:
sinza pazuri vipi itakuaje sasa boss kajitoa lebel wewe unatoka naye au ndiyo basi tena unahamia kwa lavalava ze kaswida man?
 
Kwa hiyo rayvan kujitoa wcb tena baada ya kulipa million 800 amejiacha uchi?
Ulitaka alipe sh ngap? Huo ujamaa wa kipunguani pelekeni kwenye ndoto , tengeneza msanii wa kiwango cha rayvanny & Harmonize zen wachoropoke ( wavunje mkataba) uwalipishe milion 2, wanaobwabwaja wasanii wao hawajafikia hata level za kinyambe ... Hata hvyo anayedai kanyonywa aende mahakamani akapate haki yake....mwez ujao Barnaba classic anasign wasafi ..!! Kazi iendelee
 
Kwa maelezo yako hata WCB wako sawa kwani yote wafanyayo kwa wasanii wako kwenye signed contracts na hata Ruge alikuwa sahihi pia, kinachoendelea ni ushabiki wa watu kila mtu anachagua mtu wa kumshambulia.
Ni kweli. Hawa akina P_Funk na WCB Ni wawekezaji. Projects zikitusua Ni haki yao kula kwa mujibu wa makubaliano. Kwani Kuna muda projects hufeli na kuwa hasara kwao ambayo bado wanaibeba wao wenyewe.
 
Umepanic hadi umedakia swali lisilokuhusu na ambalo pia hujalijibu kabisa.
 

Majani ana chuki binafsi na WCB, alimuomba Diamond amfanyie promotion wimbo wa Lisa wa msanii wake Diamond akachomoa ndio analeta majungu. Na amepata support kutoka kwa wale wale roho mbaya na chuki wa siku zote.
 
P Funk anachukua 100% kwa wasanii wake wote mama yake Ngwea yupo Morogoro uko kionda alipozwa tu na m1 then P kapotea haonekani tena.

Laana za kina Daz Baba hazitomuacha salama P Funk.
 
Mwamba umejibu vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…