rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
noma sanaa sema ndo hivyo mambo haya magumuWajomba wakatili wanakula 60% alafu msanii wanakuachia 40% yako ukafie mbele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
noma sanaa sema ndo hivyo mambo haya magumuWajomba wakatili wanakula 60% alafu msanii wanakuachia 40% yako ukafie mbele.
Ukumbuke Prof J alilipia hiyo midundo ndipo akafanyia wimbo na pia Majani hakutengeza beats peke yake mainly yeye hufanya mastering na mixing lakini beats hutengenezwa(HUBUNIWA) na watu wengine ambao zaidi ya wanacholipwa papo kwa papo huwa hawafaidiki kwa ubunifu wao.Mwenye haki kwenye beat hiyo ni P Funk na ndio maana ni yeye alieshikia bango mpaka mkwanja ukatoka. Na mamlaka zote za hakimiliki za Uganda na Tanzania (COSOTA) zilimsaidia mpaka akapata haki yake na Wala sio Prof. Jay. CoSoTa isingeweza kumnyima Prof. Jay Kama angekuwa na haki kwenye hili.
Yaani dunia ya Sasa ndugu ni huria,,Leo S2kizzy akilalamika wakati unakuta wimbo mmoja amelipwa 10m, na yeye akakubal ataku mwendawazm..Sasa hii ndiyo hiyo mikataba kandamizi tunayozungumzia.
Napitia cmnt tu humu mzeeMzee wa Kino naona unacomment kwa vijana
Mikataba kandamizi ndiyo hiyo inawaacha uchi WCB.Yaani dunia ya Sasa ndugu ni huria,,Leo S2kizzy akilalamika wakati unakuta wimbo mmoja amelipwa 10m, na yeye akakubal ataku mwendawazm..
Haiwaachi uchi ila wasanii wenyewe ndo wanabaki uchi. Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji...Mikataba kandamizi ndiyo hiyo inawaacha uchi WCB.
P ndio mmiliki wa nyimbo za Ngwea anakula kama mmiliki Ngwea hakuwai kumiliki nyimbo zake.. mfano Mikasi na She gotta gwan ni mali ya P Funk popote pale zitapoingiza hela iwe digital, advert au filamuSasa hapo embu elewesha p funk anakula hela za nyimbo za ngwair kama mtengeneza beat sio? Pia inatakiwa ifahamike katika wimbo/nyimbo mtengeneza beat anatakiwa achukue asilimia ngapi na muimbaji asilimia ngapi, muandishi wa nyimbo asilimia ngapi? Huko kwenye digital platform je ni universal kwamba inajulikana ni asilimia ngapi au inategemea na mkataba..? Nauliza haya sababu tofauti na kusikiliza miziki sina mengi ninayoyafahamu...
Kwa hiyo rayvan kujitoa wcb tena baada ya kulipa million 800 amejiacha uchi?Haiwaachi uchi ila wasanii wenyewe ndo wanabaki uchi. Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji...
Dogo wewe umezaliwa mwaka 2003 alafu unakuja kuwaelezea mabraza wa 70's kuhusu khalifan majani😂P ndio mmiliki wa nyimbo za Ngwea anakula kama mmiliki Ngwea hakuwai kumiliki nyimbo zake.. mfano Mikasi na She gotta gwan ni mali ya P Funk popote pale zitapoingiza hela iwe digital, advert au filamu
Ulitaka alipe sh ngap? Huo ujamaa wa kipunguani pelekeni kwenye ndoto , tengeneza msanii wa kiwango cha rayvanny & Harmonize zen wachoropoke ( wavunje mkataba) uwalipishe milion 2, wanaobwabwaja wasanii wao hawajafikia hata level za kinyambe ... Hata hvyo anayedai kanyonywa aende mahakamani akapate haki yake....mwez ujao Barnaba classic anasign wasafi ..!! Kazi iendeleeKwa hiyo rayvan kujitoa wcb tena baada ya kulipa million 800 amejiacha uchi?
Ni kweli. Hawa akina P_Funk na WCB Ni wawekezaji. Projects zikitusua Ni haki yao kula kwa mujibu wa makubaliano. Kwani Kuna muda projects hufeli na kuwa hasara kwao ambayo bado wanaibeba wao wenyewe.Kwa maelezo yako hata WCB wako sawa kwani yote wafanyayo kwa wasanii wako kwenye signed contracts na hata Ruge alikuwa sahihi pia, kinachoendelea ni ushabiki wa watu kila mtu anachagua mtu wa kumshambulia.
Umepanic hadi umedakia swali lisilokuhusu na ambalo pia hujalijibu kabisa.Ulitaka alipe sh ngap? Huo ujamaa wa kipunguani pelekeni kwenye ndoto , tengeneza msanii wa kiwango cha rayvanny & Harmonize zen wachoropoke ( wavunje mkataba) uwalipishe milion 2, wanaobwabwaja wasanii wao hawajafikia hata level za kinyambe ... Hata hvyo anayedai kanyonywa aende mahakamani akapate haki yake....mwez ujao Barnaba classic anasign wasafi ..!! Kazi iendelee
Unyonyaji ni mbaya lakini imagine hawa wasanii wanawatoa wapi? From nothing hadi mtu anamiliki label then awe ameibiwa? Products za WCB sio tu wametolewa kimuziki lakini pia wanakuwa wahitimu wa industry ya muziki ndio maana hawayumbi. Enzi hizo Bongo Rec wakikutema unarudi zero hata namba za wadau huna! Muziki ni biashara sio msaada, ratio ya 40/60 ni very fair. Labda kama sijaelewa Khalifan alimaanisha nini.
P Funk anachukua 100% kwa wasanii wake wote mama yake Ngwea yupo Morogoro uko kionda alipozwa tu na m1 then P kapotea haonekani tena.Dogo wewe umezaliwa mwaka 2003 alafu unakuja kuwaelezea mabraza wa 70's kuhusu khalifan majani😂
Nikuelekeze tu as per copyrights majani anachukua % kwenye kila nyimbo ya msanii yeyote akiwepo ngwea aliyemrekodia under his lebel bila malipo as mmiliki, mtayarishaji na mbunifu wa midundo, na % ya msanii inaenda kwa msanii.
Kama hujui % za Ngwea baada ya mifumo kuwa rasmi zinaelekezwa kwa Mama yake Mzazi.
NB:
sinza pazuri vipi itakuaje sasa boss kajitoa lebel wewe unatoka naye au ndiyo basi tena unahamia kwa lavalava ze kaswida man?
Na yeye harmonize ameanzisha label yake wakina chinga na killy wamefaidika na nini kupitia kondeboy?Wewe nimekuelewa vizuri sasa umenifungua masikio.
Kumbe ndio maana harmonize alifosi kujitoa kule WCB.
Mwamba umejibu vizuriBrother weka taarifa zako vizuri...
Wasanii wote unwaona Nature na wengine ambao album zao walirekodi kwa majani kasoro Prof J wote hakuna album hata moja wanapata hata 50 kwa sasa zote ukiingia copyright utaona Bongorecords na mzigo unaenda huko.
Kuhusu WCB kukata 60/40 aisee mbona hapo wamewasaidia wasanii bro...hivi unamchukua mtu hajulikani unamlea unampa kila kitu kisha wewe kukata 60% useme ananyonywa? Wakati pesa ya kurekodi inatoka hapo kwenye 60,mavazi na video,promo zote kwenye 60. Niambie msanii gani ukimtoa Ali kiba,Nandy(ambao walikua na backup kubwa ya clouds) anaweza kushindana na msanii wa WCB kiuchumi? Usiseme Harmonize maana yeye ametoka huko..leo hii ukisikia Harmonize kaweza kulipa 600M na Ray 800M kuvunja mkataba utasema walikua wananyonywa kama ni hivyo pesa yote hiyo wamepata wapi?
NB:WCB wana udhaifu lakini wana unafuu
Ibra na killy wanalipwa percentage gani pale kondeboy?Ulishawahi kufanya kazi ya kamisheni?