sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,474
- 6,195
Kisheria kuna ile haki inaitwa exclusive right, kwamba kama msanii ameuza mpaka exclusive right basi anakuwa hana haki tena na hiyo kazi.Ni wazi ndivyo ilivyo.
Mfano, nasikia Darassa aliuza album yake boomplay kwa milioni 140 hivi (na exclusive right), baadae wimbo wake wa I Like It ukatumika kwenye movie na boomplay wakalipwa milioni 600, akaanza kujilaumu.