Ukweli usemwe: P Funk ndio mtu mnyonyaji zaidi kuwahi tokea kwenye historia ya Bongofleva

hivi producer wa kina mwan fa aliambulia hata mia kwenye zile B2 walizopewa na tigo??
Hakulamba kitu. Ila hata kina Mwana Fa wenyewe ni kama walichukua nusu ya hiyo hela, nusu nyingine aliichukua wakili wao (Msando) kwa kuwa wao walikuwa wameikatia tamaa kesi na yeye ndio akawekeza akiamini kuwa wanatoboa na kweli wakatoboa.
 
hivi producer wa kina mwan fa aliambulia hata mia kwenye zile B2 walizopewa na tigo??
Kuambulia au kutoambulia inategemeana na mkataba. Tatizo ni kwamba watu wanadhani haki ya publishing ni automatic, sio kweli. Ni lazima haki hizo ziwe registered kisheria ili mhusika aweze kuzidai. Hatujui kama kina Mwana FA walimlipa jamaa hela ya kutosha aka-surrender publishing rights. Pia, kama hawakumlipa ili aachie hizo haki, hatujui kama Hermy B ali-register kisheria hizo publishing rights. Shida ndio iko hapo, kama alishalipwa akaachia haki zake au hakulipwa lakini hakusajili haki zake kisheria basi hana cha kudai labda jamaa waamue kufanya ushkaji tu.
 
noma sanaa... sanaa ni kazi ila huu utata hauna mwisho
 
USD 100,000 ni zaidi ya M.200 hata kwa rate ya zamani bado ni mpunga mwingi sana, jamaa alipeleka wapi hii hela?! Kwa hela hiyo now hakutakiwa kua analia lia aseeeh
Kwani analalamika kwamba yeye ndio alipwe?
 
Sipendi sana kuingilia mada za machawa siku hizi, ila nimona wewe nikujibu.

Kiuhalisia, huyo P Funk ana afadhali kuliko hao WCB.

PF hamiliki Album za wasanii ila anamiliki BEATS. Na ndio maana hujawahi kusikia Msanii analalamika.

Na kiukweli, wasanii wa zamani walipata pesa mnoooo.

Hakuna Msanii ambaye hakupata pesa. Kuna wasanii mpaka walikuwa wanatembea na pesa kwenye but I za gari.

Tatizo kubwa ukiwa msanii WCB ujue Ni Kama unafanya kazi ambayo Ni COMMISSION BASED.

Inatakiwa ufanye kazi halafu, iqe Shows, ngoma mitandaoni au endorsement kila kinachopatikana unakatwa 60% unapewa 40% kwa mkataba wa miaka 10.

Maana yake, unafonzea kila kitu. Miaka 10 kisanii hutakuwa na jipya tena.

Na baada ya kutoka hutakuwa unamiliki nyimbo yoyote Wala digital platform zako.

Kuna vitu watu huwa wanakubali kwasababu ya shida tu.
So sallam na mondi wanaula
 
Kuambulia au kutoambulia inategemeana na mkataba. Tatizo ni kwamba watu wanadhani haki ya publishing ni automatic, sio kweli. Ni lazima haki hizo ziwe registered kisheria ili mhusika aweze kuzidai. Hatujui kama kina Mwana FA walimlipa jamaa hela ya kutosha aka-surrender publishing rights. Pia, kama hawakumlipa ili aachie hizo haki, hatujui kama Hermy B ali-register kisheria hizo publishing rights. Shida ndio iko hapo, kama alishalipwa akaachia haki zake au hakulipwa lakini hakusajili haki zake kisheria basi hana cha kudai labda jamaa waamue kufanya ushkaji tu.
Mfano producer angesajili kazi yake (beat) halafu baada ya kufanya vocal nk msanii nae akaenda kusajili wimbo (vocal na beat) kuwa yeye pekee ndio mmiliki, baadae wimbo ukatumiwa kinyemela, hapo wote watafaidika na kinachopatikana? Producer hakuuza haki zote kwa muimbaji
 
P Funk anakula mpaka hela za marehemu Ngwea. Yeye p Funk anajinadi kama anapaza sauti juu ya haki za wasanii vipi mbona yeye anawanyonya mpaka leo?

Haki za ubunifu kwenye midundo mbona anawatapeli wenzie?

Tukemee unyonyaji wa P Funk
Hujajibu swali uliloulizwa
 
Skia, mtafute Feruzi mwambie mnataka kufanya biashara utumie wimbo wake wa starehe kwenye tangazo. Alafu utaskia atachokwambia

Ulisema kuwa P funk alikuwa hafanyi lolote zaidi ya kutengeneza beats na jamaa kakwambia alihusika hadi kwenye kusukuma kazi

Ukisikiliza interviews nyingi za producers wa zamani utajua kuwa walikuwa wanamsimamia msanii hadi sokoni na kuzipush nyimbo kwenye media houses. Inshort walikuwa wanafanya kazi hadi za managers

Wangekuwa ni beat makers tu bhasi majani na jay wasingepata hiyo heshima waliyonayo
 
Wasafi washenzi tu
Wasanii wa WCB miaka michache mbele watalalamika sana kidhurumiwa watz watayajua mengi yaliyojificha ila music labels za bongo kama wcb ni wanyonyaji tu , wananyonya wasanii hadi producers mtakuja kumsikia S2KIZZY malalamiko yake ya kudhurumiwa, kunyonywa malipo ya kazi anazofanya na kubaniwa siku atakayoacha kufanya kazi na mond,
 
yaah nakubalii mzee sio kama siku hizi kuna platform na mitandao ya kijami kibao kazi zinajipushi zenyewe maredio ndo usisemee ukiacha station za TV... so producer kama majani au master j walifanya kazi kama sallam anavyofanya leoo..
 
Wasanii wa WCB miaka michache mbele watalalamika sana kidhurumiwa watz watayajua mengi yaliyojificha ila music labels za bongo kama wcb ni wanyonyaji tu , wananyonya wasanii hadi producers mtakuja kumsikia S2KIZZY malalamiko yake ya kudhurumiwa, kunyonywa malipo ya kazi anazofanya na kubaniwa siku atakayoacha kufanya kazi na mond,
director kenny mtoto wa mjini kasepa zakeee 😀 😀
 
Nakumbuka sio movie, ni ngoma sijui nikusaidiaje ile biti akauziwa tena chameleone akaimbuia bomboclat.. Jay kuulizia p kaishakula hela, chameleone akataka kumpa tena hela Prof akaamua wapige kolabo, ngoma nimeisahau jina.
Ndivyo sivyo.
 
Pfunk yupo sahihi kwenye beats anayotengeneza producers wanatakiwa wafaidike wote kupitia contract wanaosign na artist na kila mmoja anatakiwa afaidike inapotumika popote kama vile kwenye matangazo, movies, ringtones, beat unayoizungumzia alitengeneza pfunk na ilitumika kwenye movie inaitwa QUEEN OF KITWE ,na pfunk naskia alifuatilia copyrights zake akala 100M sema naskia akumpa ata tsh 100😀😀 jay wakati ulitumika wimbo wa chameleon ft jay kwenye iyo movie na chameleon ndo aliingia contract ya kwanza wa huo wimbo kutumika kwenye QUEEN OF KITWE ,na alikula pesa na pfunk alivyofuatilia naye alikula pesa sa usikute na jay angepambania haki yake angekula pesa pia
 
director kenny mtoto wa mjini kasepa zakeee 😀 😀
Yule mjanja kaona uhuni wanateswa kwa sifa ya kitaa kuwa wcb, S2KIZZY anatakiwa asign contract kwa kila beats anazomtengenezea mond na kila artist kila itakapotumika apate % kadhaa na sio kupata tu sifa ya kudhurula duniani na kukutanishwa na artists wakubwa na sifa ya kuwa karibu na mond , mark my words siku si nyingi watazinguana na akifulia tutaujua ukweli
 
kama s2kizzy hapati percent kwenye kila wimbo kakubali zawadi ya kununuliwa gari bhasi ni tairaa snaaaa
 
Back
Top Bottom