Ukweli usemwe sisi waislamu ndo tunaeneza vita ya udini Tanzania

Unaelewa maana ya neno msingi ?

Tuambie maana ya msingi, usije ukawa unajadili jambo ambalo hulijui.
 
Kitendo cha TEC kumili upande mmoja, huku ni kuhamasishwa vurugu, Yale anayo yaongea Kitima ni kuhamasisha vurugu.

Unatumia nini kufikiri ? Au hufatilii kinachoendelea ?
Ni wapi TEC wameonesha unafiki? Eti waongelee haki, hivi unajua hata maana ya neno "Haki" kweli wewe?

Wameonyesha unafiki, kwenye kuikosoa serikali na kuacha kuwakosoa vijana, na wanaharakati. Huu ni unafiki na undumi la kuwili, bali ni uzandiki na udini wa hali ya juu.

Kama unataka nikufundishe maana ya Haki naweza kadhalika.

Wewe hata maana ya haki hujui, ndio maana mnatanguliza haki dhidi ya amani.
Au hao mashekh wenu waliosema watachinja watu ndio wanaongelea haki?
Ujinga mwingine mlio nao ni huu, yaani mnajengea hoja maneno ambayo huenda hukuyasikia. Hakuna Sheikh aliesema watachinja watu, nenda kamsikilize tena, alisema mtakuta tumechinjana. Msiwazulie watu uongo kwa ujinga wenu na chuki zenu za kijinga.
Na wakati ni wanafiki wakubwa na hakuna kingine kinachowasukuma kuisapoti hii serikali zaidi ya njaa na samia kuwa muislamu mwenzao.

Thibitisha hili, wewe kwa akili yako unafikiri kinachowasukuma hao TEC ni ni I ? Hakuna kingine zaidi ya uislamu wake, sababu hawana hoja za maana zaidi ya uongo na chuki ya kidini.
Unauliza TEC ni kina nani? TEC ni taasisi kongwe hapa nchini kuliko hata hiyo CCM na imekuwa ni platform ya kuisemea jamii kwa kuimbusha serikali kuhusu uwajibikaji na kutenda haki bila kujali itikadi za kisiasa wala kidini za watu inaowasemea.

Kwahiyo kama kongwe, ndio iongee ujinga na kuacha kukemea uovu unao fanywa na wanaharakati na raia ? Ndio maana tunasema wao watakuwa wahusika wa kuratibu hizi vurugu. Huwezi kuwa kiongozi wa dini ukawa mjinga kama walivyo TEC, halafu kwa ujinga wao wanadai chanzo Cha vurugu ni Serikali ? Hii akili ya wapi ? Wasifanya vurugu watu wangeuliwa ?

Acheni unafiki, kama hao TEC ni wakweli na wanapigania haki, walitakiwa wajue na raia Wana haki kwa viongozi wao.

Wao wanaikumbusha serikali kuitenda haki wakati wao hawaitendi haki. Hii akili ya wapi ? Wakumbusheni viongozi wenu wa TEC.

Kingine tangu lini serikali ikakosolewa hadharani ? Yesu hajawafundisha mafundisho haya ? Ndio tunazidi kusisitiza wanaeneza ugaidi nyuma ya pazia ya haki na sisi tumeshawajua.
 
W
Labda wewe unijuze hao BAKWA wana mamlaka gani ya kuwafokea TEC mpaka kufikia hatua ya kuwatishia maisha?
Hao TEC Wana Mamlaka gani ya kuikosoa serikali hadharani tena kwa namna ya uchochezi ?

Bakwata Wana Mamlaka hiyo sababu ni taasisi ya dini inayokemea ouvu pande zote.
 
Kwani hii serikali haina wanasemaji wake mpaka nyie ndio mnajipa jukumu la kuisemea na kutetea ushetani wake? Wapumbav kweli nyie na mtu wenu hana maisha marefu hapo tuko hapa.
Bakwata wanapinga dhulma inayoenezwa na TEC. Wala hawaisemei serikali.
 
Kwahiyo imeamua kuikemea serikali, na kuacha kuwakemea raia waovu na wanaharakati wanao vunja amani. ?

Kwahiyo wao wana haki ya kuvunja amani na kuchochea machafuko ?

Serikali sio chanzo cha hizo vurugu, na hili huwezi kulithibitisha, chanzo Cha hizo vurugu ni hao TEC, wanasiasa na wanaharakati.
 
Kama kuikumbusha serikali kutenda haki ni kuhamasisha vurugu acha tu iwe hivyo, na TEC kamwe hawawezi kuacha kuikumbusha serikali hii dhalimu umuhimu wa kutenda haki.
Tatizo sio kuikumbusha, shida ni vipi unaikumbusha, unatumia maneno gani na kwa njia gani ? Kama nyinyi mnamfata Yesu, ushawahi kutaka kujua Yesu kipindi chake Ali shughulika vipi na watawala waovu, mafisadi je alikuwa anatoa matamko ya kipumbavu pumbavu kama Hawa ? Je alikuwa anahamasisha vurugu na ugaidi. ?
 
Kwani hii serikali haina wanasemaji wake mpaka nyie ndio mnajipa jukumu la kuisemea na kutetea ushetani wake? Wapumbav kweli nyie na mtu wenu hana maisha marefu hapo tuko hapa.

Kwahiyo kuikosoa TEC ndio kuisemea serikali ? Kwahiyo ulitaka TEC akikosea asisemwe ?
 
Weka ushahidi wa hili.
 
Haya kama ni wahalifu maiti zao ziko wapi? Unauaje wahalifu halafu unaenda kuficha ushaidi kwa kuwazika kwenye makaburi ya siri?
Hayo ni maamuzi ya serikali kwa maslahi yake.
 
Dini hazina tena masaada now nikujipigania tu
 
Umeua wahalifu, mbona hata idadi yao umeshindwa kutoa mpaka leo? Unaficha nini sasa kama kweli ulioua ni wahalifu?

Nyingi si mnajua, ambao mpaka mnasema ni mauaji ya halaiki, mnataka idadi Toka serikalini ili iweje ?

Serikali haipangiwi katika hilo.
 
Wewe mjamaa ni unaongoza kwenye darasa la vilaza. Bure kabisa, yaani umejikunja mwenyewe kutoa hoja ndio unakuja na huu ushuzi!!
 
Udini mnao nyinyi na ushahidi tunao.

Nyinyi ndio mmeharibu hii nchi kwa kujiona nyinyi ndio raia daraja la kwanza. Mambo yamebadilika mmeanza kulia Lia. Kingine nilichokiona ni kuwa TEC ni waongo mno.
 
Wewe mjamaa ni unaongoza kwenye darasa la vilaza. Bure kabisa, yaani umejikunja mwenyewe kutoa hoja ndio unakuja na huu ushuzi!!
Kosoa nilicho kiandika acha ngonjera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…