Ukweli wasioupenda Watanganyika au Watanzania Bara

Ukweli wasioupenda Watanganyika au Watanzania Bara

Njoo ni kutie mimba uone..faida ya kuzaa na mtanganyika uondokane na huo ubaguzi..

#MaendeleoHayanaChama

Ndio heshima zenu hizo ??? NNa ndio maana tabia zenu za WAZANZIBARI HAZIENDANI
 
Waarabu na Wazanzibari ni ndugu wa damu na wa asili kabisa maana Waarabu ndio walioleta ukombizi kwa Taifa la Zanzibar.

Waarabu ndio watu walioweza kuishi kijamii pamoja na Wazanzibari kwa miaka mingi hadi kuchanganya damu na Wazanzibar walio wengi na kuishi km jamii moja tena kwa upendo kabisa...
Wewe ni Abu Jahl
 
 
 
 

Ccm ipi hiyo?...umesahau azimio la Zanzibar lilivyouzika ujamaa?
Shukran kiongozi kwa ukumbusho.


Pamoja na ccm kuukana ujamaa na kubariki ubepari hata hivyo ktk dhana zote mbili kuna nidhamu moja wamefafana.

Nidhamu hiyo ni Secularism.

Usekula kwasasa una maana tofauti, lkn asili yake ni ile ile kukanusha kuwepo kwa mungu na hivyo dini kwayo haina maana yyt.

Kwa historia mifumo yote ya utawala ilishikwa na viongozi was dini. Lkn baada ya viongozi was dini kuvimbiwa na madaraka, uongozi ukawa si ule wa kumtegemea mungu. Na baada ya dhiki na mateso ndipo wakajitokeza watu kupinga utawala huo unaitwa unamtangaluza mungu. Ndio ikaja hoja ya usekula.

Kwa uoni wangu historia mpya ya uongozi inapaswa kujengwa uongozi utakao mtanguliza mungu na usekula.

Nadharia hiyo kwa lugha nyepesi huitwa ya Diversity au Serikali jumuishi.

Kwani kwa uhalisia pamoja na tz kujipambanua hadi Leo kuwa haichanganyi mambo ya mungu na siasa. Hata hivyo huchanganywa. Hivyo Usecular umebaki kuwa ni jinamizi la kuwanyima haki baadhi ya dini nchini.

Waznz kwa mfano 98% ni waislam lkn mabinti walio jeshini wananyimwa haki ya kuvaa mavazi ya stara sawa na dini yao. Vazi la stara ni moja ya ibada kwa waislam.

Lkn hizi kwa mznzr mwenyewe haoni shida. Kwasasabu ingawa ni waislam lkn wameathiriwa na ujamaa. Na matokeo yake wanaleta siasa za ubaguzi kama ujamaa wenyewe ulivyo.
 
Hiyohiyo inayowatawala
Kama Tanzania ndiyo Tanganyika basi nyie mmeolewa na Zanzibar maana bi harusi ndiye anachukua jina la mume kwenye ndoa. Ila karibu tunawapa talaq mrudi kwenu bara. Tumechoka na tabia zenu.
 
Kama Tanzania ndiyo Tanganyika basi nyie mmeolewa na Zanzibar maana bi harusi ndiye anachukua jina la mume kwenye ndoa. Ila karibu tunawapa talaq mrudi kwenu bara. Tumechoka na tabia zenu.
TAN ndo ameoa
 
Kwani Watanganyika wana matatizo na Waarabu au Wazanzibar weusi ndio wana matatizo na Waarabu kama Dr. SALIM alivyobaniwa sababu ya Uarab wake.

Hii mada ni irrelevant na Watanganyika kabisa.
Ugomvi wa Kwao anatuletea Sisi
 
Vipi Nusra itakuja kwa watu mfano wa hawa? Kwa hali hii vipi udhalili utaondoka?

Shauri yenu.
Hii imetokana na miendendo na tabia za kitanganyika. Imani zao ni ndogo sana mfano mdogo BAKWATA
 
Back
Top Bottom