Jagina
JF-Expert Member
- Jan 29, 2019
- 8,428
- 4,022
Njoo ni kutie mimba uone..faida ya kuzaa na mtanganyika uondokane na huo ubaguzi..
#MaendeleoHayanaChama
Ndio heshima zenu hizo ??? NNa ndio maana tabia zenu za WAZANZIBARI HAZIENDANI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo ni kutie mimba uone..faida ya kuzaa na mtanganyika uondokane na huo ubaguzi..
#MaendeleoHayanaChama
Ongelea Tanzania basi, Tanganyika haipo na haionekani popote pale.Ndo Bongo hii..tuliibadilisha kuiita Tanzania ili tuwatawale vizuri wazanzibar. Mwaka wa 58 huu hawaleti fyoko!
Hiyohiyo inayowatawalaOngelea Tanzania basi, Tanganyika haipo na haionekani popote pale.
Ccm ipi hiyo?...umesahau azimio la Zanzibar lilivyouzika ujamaa?Ccm inafata nadharia ya Ujamaa ambayo asili yake ni Marxist.
Wewe ni Abu JahlWaarabu na Wazanzibari ni ndugu wa damu na wa asili kabisa maana Waarabu ndio walioleta ukombizi kwa Taifa la Zanzibar.
Waarabu ndio watu walioweza kuishi kijamii pamoja na Wazanzibari kwa miaka mingi hadi kuchanganya damu na Wazanzibar walio wengi na kuishi km jamii moja tena kwa upendo kabisa...
Pitia vizuri bandiko lakoUbaguzi wangu ni upi hapo?
Shukran kiongozi kwa ukumbusho.Ccm ipi hiyo?...umesahau azimio la Zanzibar lilivyouzika ujamaa?
Kama Tanzania ndiyo Tanganyika basi nyie mmeolewa na Zanzibar maana bi harusi ndiye anachukua jina la mume kwenye ndoa. Ila karibu tunawapa talaq mrudi kwenu bara. Tumechoka na tabia zenu.Hiyohiyo inayowatawala
TAN ndo ameoaKama Tanzania ndiyo Tanganyika basi nyie mmeolewa na Zanzibar maana bi harusi ndiye anachukua jina la mume kwenye ndoa. Ila karibu tunawapa talaq mrudi kwenu bara. Tumechoka na tabia zenu.
Vipi Nusra itakuja kwa watu mfano wa hawa? Kwa hali hii vipi udhalili utaondoka?WAZANZIBARI WANA USEMI WAO WAANASEMA NI BORA MLEVI WA KIZANIBARI KULIKO SHEKHE WA KITANGANYIKA
Ugomvi wa Kwao anatuletea SisiKwani Watanganyika wana matatizo na Waarabu au Wazanzibar weusi ndio wana matatizo na Waarabu kama Dr. SALIM alivyobaniwa sababu ya Uarab wake.
Hii mada ni irrelevant na Watanganyika kabisa.