SI KWELI Ulaji wa Ugali husababisha udumavu wa akili

SI KWELI Ulaji wa Ugali husababisha udumavu wa akili

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Kumekuwepo na madai kuwa ulaji wa ugali hudumaza akili. Madai haya yana ukweli kiasi gani?

02692B18-05FE-4851-857F-7A5DA6E174CD.jpeg
 
Tunachokijua
Ugali ni chakula kinachotumika sana Kusini mwa Jangwa la Sahara. Kwa mujibu wa utafiti wa Onu Okpa et al (2019), “Sub-Saharan African Maize-Based Foods - Processing Practices, Challenges and Opportunities” mahindi huchangia 30% ya nishati za vyakula wanavyotumia watu wa ukanda huu kila siku.

Kwa mujibu wa utafiti huu, kila mtu anayepatikana Kusini mwa Jangwa la Sahara hutumia wastani wa kati ya gramu 52-450 za mahindi kwa siku. Ni chanzo kikuu cha ugali unaotumika kila siku kwenye nchi hizi. Kwa Tanzania, 64% ya wananchi wake hula chakula hiki walau mara 5-7 kwa wiki.

Takwimu hizi zinaonesha kuwa ugali ni chakula kinachotumika sana, pengine kuliko aina nyingine za vyakula. Baadhi ya watu huutengeneza kwa kutumia unga wa mhogo, mtama, ulezi pamoja na aina zingine za nafaka.

Bila kujali tofauti ndogo za mgawanyiko wa virutubisho, nafaka zote husifika kwa kuwa na kiasi kikubwa cha nishati na wanga, pia kiasi kidogo cha madini na vitamini muhimu kwa afya.

Kuhusishwa na udumavu wa akili
Kitaalamu, udumavu wa akili husababishwa mambo mengi ikiwemo baadhi ya changamoto za kijenetiki mfano Down’s syndrome, kukosa hewa ya kutosha wakati wa kuzaliwa, maambukizi makali ya homa ya uti wa mgongo, utapiamlo, matumizi ya baadhi ya madawa na pombe wakati wa ujauzito pamoja na sababu zingine siziso wazi sana.

Kwa kurejea mgawanyiko wa virutubusho vinavyopatikana kwenye nafaka zinazotumika kutengenezea ugali, hakuna uhusiano wa moja kwa moja unaoweza kutajwa, au pia kuhusishwa na kusababisha udumavu wa akili kwa watu. Virutubisho na madini yake havina athari hasi kwenye afya ya ubongo.

Pia, JamiiForums imezungumza na wataalamu wa lishe ambao wamethibitisha kuwa chakula hiki ni salama, hakiwezi kusababisha madhara tajwa.

Hivyo, JamiiForums imebaini kuwa madai haya hayana ukweli uliojengwa kwa hoja za kisayansi. Ni uzushi usio na uthibitisho wa tafiti au takwimu.
Sasa unaachaje hii kitu
 
Attachments

  • FB_IMG_1729089497202.jpg
    FB_IMG_1729089497202.jpg
    83.7 KB · Views: 3

57a198f5f1.jpg

5995e8408b.jpg

Cows-Digest-Corn-980x640.jpg

Mahindi hapà East Afrika yaliletwa na mreno, mahindi sio zao la asili la hapà Africa ni zao la asili ya huko Amerika ya kusini wao huyatumia kama chakula cha mifugo mpaka leo, wanalishia ng'ombe ,punda ,farasi , nguruwe ,kuku ,Bata nk ili kupata nyama, wao wakila mahndi basi ni mara chache yale mabichi ya kuchemsha au kuchoma.

Huu ugalii tumeanza kuula baada ya wakoloni kuleta mahindi, tulipumbazika kwamba unashibisha haraka na kuleta nguvu.

Vyakula vyetu vya asili ni Magimbi, Ulezi, Mtama, Ndizi, samaki, Senene, Nyama choma, n.k.

Propaganda zimesambazwa tangu enzi za ukoloni kuusifia ugali unaleta nguvu huku suala la akili likipuuzwa, mwili wa binadamu wenye nguvu bila akili kuna tofauti ndogo sana na wanyama, atawaza zaidi kuzaliana, kuridhika haraka, kukosa malengo, ya muda mrefu, starehe, n.k.

UNABISHA ?? Chunguza vizuri hata kwa hapa Tz wasomi wengi wanatokea mikoa ambayo hawakuacha kutumia vyakula vya asili Kuanzia kinara wao Ukerewe, Unakuja Kilimanjaro, Unaenda Kagera, Unashuka Mbeya lakini nao wameanza kuushobokea ugali, wajitafakari.

Mtoto anaweza kuzalwa na IQ ya 300 lakini ugali unamshusha hadi 200, ni kweli anaweza kuwa na akili sana lakini huo sio uwezo wake halisi, uwezo wake original ilibidi uwe zaidi.

Kuchanganya ugali na vyakula vinavyoongeza akili kama samaki na mboga za majani ni sawa na kutumia ndoo yenye tobo kuchota maji kisimani. unaingiza madini lakini yanaharibiwa na ugali.
 
Ugali sio chakula cha kitamaduni wala asili kwa mwafrika, TULIPIGWA.

Huu ugalii tumeanza kuula baada ya wakoloni kuleta mahindi, tulipumbazika kwamba unashibisha haraka na kuleta nguvu.

Vyakula vyetu vya asili ni Magimbi, Ulezi, Mtama, Ndizi, samaki, Senene, Nyama choma, n.k.

Propaganda zimesambazwa tangu enzi za ukoloni kwamba ugali unaleta nguvu huku suala la akili likipuuzwa, mwili wa binadamu wenye nguvu bila akili kuna tofauti ndogo sana na wanyama, atawaza zaidi ubabe, ngono, kuridhika haraka, n.k.

Mtoto anaweza kuzalwa na IQ ya 300 lakini ugali unamshusha hadi 200, ni kweli anaweza kuwa na akili sana lakini huo sio uwezo wake halisi, uwezo wake original ilibidi uwe zaidi.
Sasa ilikuwaje wazee walikuwa wanakula vyakula vya asili na bado wakatawiliwa?
 
Ugali ndio umekuwa chakula cha taifa. Nchi nzima watu wanakula ugali na kushiba kisawawa. Kula wali ni ufahari, ndizi wanakula watu wa maeneo zinakolimwa, hata hivyo kuna ugali kwa wingi huko. Kuna ugali wa uwele, mtama, ulezi na muhogo, uchaguzi ni wa mlaji ale ugali gani. #bring back our ugali
 
Ugali sio chakula cha kitamaduni wala asili kwa mwafrika, TULIPIGWA.

Huu ugalii tumeanza kuula baada ya wakoloni kuleta mahindi, tulipumbazika kwamba unashibisha haraka na kuleta nguvu.

Vyakula vyetu vya asili ni Magimbi, Ulezi, Mtama, Ndizi, samaki, Senene, Nyama choma, n.k.

Propaganda zimesambazwa tangu enzi za ukoloni kwamba ugali unaleta nguvu huku suala la akili likipuuzwa, mwili wa binadamu wenye nguvu bila akili kuna tofauti ndogo sana na wanyama, atawaza zaidi ubabe, ngono, kuridhika haraka, n.k.

UNABISHA ?? Chunguza vizuri hata kwa hapa Tz wasomi wengi wanatokea mikoa ambayo hawakuacha kutumia vyakula vya asili Kuanzia kinara wao Ukerewe, Unakuja Kilimanjaro, Unaenda Kagera, Unashuka Mbeya.

Mtoto anaweza kuzalwa na IQ ya 300 lakini ugali unamshusha hadi 200, ni kweli anaweza kuwa na akili sana lakini huo sio uwezo wake halisi, uwezo wake original ilibidi uwe zaidi.
Kwani huo ugali unaula bila ya mboga ? Wenzako tunapokula ugali tuna angalia zaidi mboga mfano ugali na samaki na njegere na tembere au mchicha pamoja na kachumbali nk .....labda wewe unakula ugali na picha ya samaki(wapale style) ndiyo maana unakuwa na mapungufu hadi ya akili ....wataalamu tunasema ugali ni mboga..
Kwani ukila ugali na samaki au nyama choma au na tembere sindiyo hayo hayo unayotaka .....songa ugali ....pika na mboga 7 na mtindi pembeni ....tumia akili wacha kulalamika kama mwanamke mpumbavu
 
Kwani huo ugali unaula bila ya mboga ? Wenzako tunapokula ugali tua angalia zaidi mboga mfano ugali na samaki na njegere na tembere au mchicha pamoja na kachumbali nk .....labda wewe unakula ugali picha ya samaki ndiyo maana unakuwa na mapungufu hadi ya akili ....wataalamu tunasema ugali ni mboga
Kula ugali na mboga ulizotaja ni sawa na kuchotea maji ndoo iliyotoboka
 
Ugali sio chakula cha kitamaduni wala asili kwa mwafrika, TULIPIGWA.

Huu ugalii tumeanza kuula baada ya wakoloni kuleta mahindi, tulipumbazika kwamba unashibisha haraka na kuleta nguvu.

Vyakula vyetu vya asili ni Magimbi, Ulezi, Mtama, Ndizi, samaki, Senene, Nyama choma, n.k.

Propaganda zimesambazwa tangu enzi za ukoloni kwamba ugali unaleta nguvu huku suala la akili likipuuzwa, mwili wa binadamu wenye nguvu bila akili kuna tofauti ndogo sana na wanyama, atawaza zaidi ubabe, ngono, kuridhika haraka, n.k.

UNABISHA ?? Chunguza vizuri hata kwa hapa Tz wasomi wengi wanatokea mikoa ambayo hawakuacha kutumia vyakula vya asili Kuanzia kinara wao Ukerewe, Unakuja Kilimanjaro, Unaenda Kagera, Unashuka Mbeya lakini nao wameanza kuushobokea ugali, wajitafakari.

Mtoto anaweza kuzalwa na IQ ya 300 lakini ugali unamshusha hadi 200, ni kweli anaweza kuwa na akili ukila sana lakini huo sio uwezo wake halisi, uwezo wake original ilibidi uwe zaidi.
Ugali ukila sa7 mchana inafika Hadi sa2 usiku umeshiba
 
Ugali sio chakula cha kitamaduni wala asili kwa mwafrika, TULIPIGWA.

Huu ugalii tumeanza kuula baada ya wakoloni kuleta mahindi, tulipumbazika kwamba unashibisha haraka na kuleta nguvu.

Vyakula vyetu vya asili ni Magimbi, Ulezi, Mtama, Ndizi, samaki, Senene, Nyama choma, n.k.

Propaganda zimesambazwa tangu enzi za ukoloni kwamba ugali unaleta nguvu huku suala la akili likipuuzwa, mwili wa binadamu wenye nguvu bila akili kuna tofauti ndogo sana na wanyama, atawaza zaidi ubabe, ngono, kuridhika haraka, n.k.

UNABISHA ?? Chunguza vizuri hata kwa hapa Tz wasomi wengi wanatokea mikoa ambayo hawakuacha kutumia vyakula vya asili Kuanzia kinara wao Ukerewe, Unakuja Kilimanjaro, Unaenda Kagera, Unashuka Mbeya lakini nao wameanza kuushobokea ugali, wajitafakari.

Mtoto anaweza kuzalwa na IQ ya 300 lakini ugali unamshusha hadi 200, ni kweli anaweza kuwa na akili sana lakini huo sio uwezo wake halisi, uwezo wake original ilibidi uwe zaidi.

Kula ugali na vyakula vinavyoongeza akili kama samaki na mboga za majani ni sawa na kutumia ndoo iliyotoboka kuchota maji kisimani. unaingiza madini lakini yanaharibiwa na ugali.
Wewe hutaki nguvu?je vipi akili isiyona nguvu yafaa nini?
 
Ni starehe ya ngama 'kwa ajili ya watu wa Mungu ambao tumeshaungama

Alisikika Nature
 
Kula ugali na mboga nyingine ni sawa na kuchotea maji ndoo iliyotoboka
Soma ulicho andika ? Kwani ugali ni mboga🤣🤣🤣🤣 wewe utakuwa ndiyo wale vijana wapumbavu wanao sema 👉 sorry girls we love men na wale wanaosema bora unitukanie baba yangu kuliko mama yangu😁😁😁 hasara kubwa ya taifa
 
UNABISHA ?? Chunguza vizuri hata kwa hapa Tz wasomi wengi wanatokea mikoa ambayo hawakuacha kutumia vyakula vya asili Kuanzia kinara wao Ukerewe, Unakuja Kilimanjaro, Unaenda Kagera, Unashuka Mbeya lakini nao wameanza kuushobokea ugali, wajitafakari.

Mtoto anaweza kuzalwa na IQ ya 300 lakini ugali unamshusha hadi 200, ni kweli anaweza kuwa na akili sana lakini huo sio uwezo wake halisi, uwezo wake original ilibidi uwe zaidi.
=
Twende kwa facts,

Mchango wa Vinasaba na Mazingira katika IQ ya Mwanadamu

IQ (Intelligence Quotient) ya mwanadamu inategemea mambo kadhaa, ikiwa ni pamoja na vinasaba na mazingira.

Tafiti nyingi zinaonyesha kwamba lishe bora, hasa katika kipindi cha utoto, ina umuhimu mkubwa katika kuathiri IQ na uwezo wa utambuzi wa watoto.

**** Vinasaba na IQ

Vinasaba vina jukumu muhimu katika kuamua uwezo wa akili wa mtu binafsi. Hata hivyo, mazingira yanayomzunguka mtu, ikiwa ni pamoja na lishe, yanaweza kubadilisha au kuimarisha athari hizi. Kwa mfano, watoto walio na historia ya familia ya matatizo ya akili wanaweza kuwa na hatari zaidi ya kupata IQ ya chini, lakini mazingira bora yanaweza kusaidia kupunguza hatari hii.

**** Athari za Lishe

1. Lishe Duni: Utafiti umeonyesha kuwa ukosefu wa virutubisho muhimu kama protini, madini, na vitamini unahusishwa na kiwango cha chini cha IQ. Watoto wanaokosa lishe bora mara nyingi wanakabiliwa na changamoto za utambuzi na kujifunza[3][4].

2. Mchango wa Lishe Bora: Utafiti mmoja ulionyesha kwamba watoto wanaokula a breakfast mara kwa mara wana kiwango cha juu cha IQ ikilinganishwa na wale wanaokosa breakfast. Walio na chakula bora walionyesha ongezeko la alama za IQ kati ya 5 hadi 6[7].

3. Matokeo ya Utapiamlo: Utapiamlo unachangia kupungua kwa uwezo wa kujifunza na kukumbuka. Watoto walio katika mazingira yasiyo bora ya lishe wanakabiliwa na hatari kubwa zaidi ya kuwa na IQ ya chini[5][6].

**** Mifano ya Utafiti

- Utafiti wa Denmark: Utafiti uliofanywa nchini Denmark uligundua kuwa uzito wa kuzaliwa na ukuaji wa mtoto katika miezi ya mwanzo una uhusiano mzuri na IQ. Watoto walionyesha ongezeko la alama za IQ kulingana na uzito walioupata katika kipindi cha utotoni[8].

- Utafiti kuhusu Lishe: Tafiti nyingi zinaonyesha kuwa watoto wanaopata lishe bora tangu utotoni huwa na uwezo mzuri wa kujifunza, huku wale walio kwenye mazingira magumu wakikabiliwa na changamoto kubwa za kisaikolojia[4][6].

Kwa ujumla, ni dhahiri kwamba IQ ya mwanadamu inaathiriwa kwa kiasi kikubwa na mchanganyiko wa vinasaba na mazingira, hasa lishe anayopewa mtoto tangu utotoni. Hivyo basi, kuwekeza katika lishe bora ni muhimu kwa maendeleo bora ya akili ya watoto.
Code:
Citations:
[1] https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/36854137/
[2] https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC11428586/
[3] https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC10877903/
[4] https://www.semanticscholar.org/paper/8286b8e9783cf62f5019970848e3e782098783db
[5] https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC8894195/
[6] https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC9857183/
[7] https://pubmed.ncbi.nlm.nih.gov/31224517/
[8] https://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC7326594/
1731220462137.png

=
Je kwa upande wako waweza kutupatia chanzo au uthibitisho wa hiki ulichokiandika?

My take: Una hoja ila kwenye Ugali, Ugali umesingiziwa kuhusshwa na IQ.
 
Hii tabia ya kuwalaumu wazungu kwa upumbavu wetu wenyewe inakera sana. Mwaka 1905 wakati mababu wa kibeberu wanajenga mnara wa Eiffel je mababu zetu ambao walikuwa hawali ugali walikuwa wanafanya nini? Mababu walikuwa wanakula vyakula vya asili lakini si ndo hao walikuwa hawajui thamani ya Almasi na Dhahabu? Sisi tumerithi upumbavu wao. Cha muhimu tupambane kupunguza upumbavu tuliorithi.
 
Back
Top Bottom