Mliooa hamlawiti, hamzini, hamtendi dhambi?Shida ya ukatoliki ni mapadre kuto ruhusiwa kuoa. Bin-Adam kamwe hawezi kushindana na nature, kulhali itachukua mkondo wake.... Kwa siri au kwa dhahiri.
Kwamba huko kwingine ambako watu wanaoa hakuna cases za ulawiti?Wakati umefika sasa mapdre wa roma wawe wanaoa na wale masister waolewe huku wakiendelea na shughuli zao,kwasababu kuto kuoa au kuolewa hakumfanyi mtu kuwa mtakatifu,wanaishi maisha ya kujijaribu wakati wanajua dhahiri kuwa uwezo wa kushinda vishawishi hawana...
Kwan utajua sasa? Ukute anaukatikia mkunyenge tangu kitambo lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaani mambo ya kulawitiana yanaongozwa wa waasisi yaani viongozi wa ibada.. acheni makuzi nyie labda hii bastora niwe nimefungiwa kibari wasithubutu kumfanyia mwanangu mtanifunga hata miaka bilion nane
Amelipotezeaje?Kumekuwa na kesi na tuhuma nyingi juu ya watoto kulawitiwa n viongozi wa Kanisa Katoliki. Kwenye habari hii, Papa Benedict yaripotiwa 'alilipotezea' suala la baadhi ya Viongozi kulawiti watoto.
Gay [emoji2380][emoji2380][emoji2380] awwwwwwhView attachment 2094772
Hawa wapuuzi Ndio walioleta dini Africa
Ngumu kuthibitisha ila lazima inapunguza.Tuthibitishie watu waliooa hawalawiti wala kutenda dhambi.
Alijua kuhusu vitendo vya ulawiti lakini kama kiongozi wa dini hakuchukua hatua stahiki.Amelipotezeaje?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naunga mkono hoja. Ingawa bado hata kwenye dini za wanao ruhusiwa kuoa wanawake 4, bado huo ulawiti umetamalaki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado kufungishwa ndoa tyuuh, tena dhehebu 1 limeshafungisha ndoa 2, muwaache mashoga wawe huru na hisia zao lol.Ndo maana ushoga na mashoga wanatamba kwa maana michezo hii inabarikiwa na baadhi ya hawa viongozi wa dini.
Kwa faida ya nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado kufungishwa ndoa tyuuh, tena dhehebu 1 limeshafungisha ndoa 2, muwaache mashoga wawe huru na hisia zao lol.
Sasa unaongeleaje kitu usichoweza kuthibitisha!!?Ngumu kuthibitisha ila lazima inapunguza.
Sasa tunashughulika na eneo lililo thibitishwa. .Yaani hao mapadre.
Unaweza kuthibitisha kulikuwa na uthibitisho wa hivyo vitendo?Alijua kuhusu vitendo vya ulawiti lakini kama kiongozi wa dini hakuchukua hatua stahiki.
Sawa mzee baba? Swali jingine tafadhali.
Kuchukuliwa hatua ni lazima maana walichofanya ni kinyume na sheria ila mie nimeuliza kama kuna njia ya kupunguza vitendo hivyo.Wakibainika wahusika, wachukuliwe hatua kwa mujibu wa sheria. Maana hakuna Kanisa linalo hamasisha watu wake kufanya maovu badala ya mema.
Hizi ni tabia binafsi za watu, wakiwemo hao Mapadre wachache.
Nimeuliza unajua dini zote zilizopo duniani ?maana dini zipo nyingi si ukristo na uislamu tu.Nitajie ya kwako nikutajie maovu yake
Wewe Tomaso?Unaweza kuthibitisha kulikuwa na uthibitisho wa hivyo vitendo?
Kikubwa zaidi Mungu husamehe dhambi na kututakasa na kusahau kabisa (Isaya 1:18; Isaya 43:25) na tena huliachilia kosa la watu wa urithi wake waliosalia (Mika 7:18).Mwanajeshi mwaminifu hakimbii vita bali hutafuta mbinu ya kupambana na kupata ushindi. mahusiano halisi ya mwanadamu na MWENYEZI MUNGU yapo ndani ya mtu na sio nje ya mtu katika mazingira hayo hayo magumu tumtafute MUNGU kwa kuwa hata hao wanaozungumzwa wanamuhubiri MUNGU wa kweli faili zao zinatisha lakini bado watu wanabarikiwa na MUNGU katika mazingira hayohayo.
Hizo "biblia za kifreemason" ndio zipi?PADRI kaingia kanisani na biblia ya kifreemason tu kafukuzwa na hapo kanisani sembuse huyo aliyelawiti watoto kwa miaka mingi tu.. alaf huyo aliyetunza siri anakuja kuleta uzushi wa kuomba msamaha alaf unakuta kuna kinda linatetea.. angefanyiwa hivyo vitendo mwanao ungekuwa katika hali dhaifu ya kusamehe acha ujinga.. kipara
Vipi mtoto wako wa kiume akitelezeshewa chatu utaona ni sawa na kumpongeza?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bado kufungishwa ndoa tyuuh, tena dhehebu 1 limeshafungisha ndoa 2, muwaache mashoga wawe huru na hisia zao lol.
Zima hiyo kitu unayovuta wee binti. Unamuwaziaje mtoto wa mwenzako mabaya kiasi hiki?!!Kwan utajua sasa? Ukute anaukatikia mkunyenge tangu kitambo lol, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]