Ulawiti watoto: Ipo shida kubwa kwenye Taasisi ya Kanisa Katoliki

Huku Afrika hivi visa nina uhakika viko vingi, lakini vitakuwa kuwa chini ya maji
 
Mkuu GENT, ni kweli ulivyosema. Hili tatizo lipo kwenye kila taasisi ya dini duniani. Lakini ndani ya Roman Catholic, hii ilikuwa kama institutionalized na viongozi wa kanisa. Haikuwa na isolated incidents tena. Tukatae au tukubali, Roman Catholic ni taifa kubwa na wahusika hawakuadhibiwa au kufikishwa mbele ya sheria.

Watuhumiwa wengi walihamishwa kwenda kwenye makanisa mengine katika nchi mbalimbali na huko waliendelea na mchezo wao. Kule Boston, Marekani vijana wengi wa kiume ndani ya kanisa wamepakatwa sana na mapadre mpaka ikatia kinyaa. Uongozi wa kanisa kule Vatican walikuwa na taarifa, lakini hakuna kilichofanyika. Haya ndio matokeo yake. Yaleyale, ya mfuga maradhi.....
 
Wanamwagana mavi tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe jamaa umepatia kweli
 
Kumbeeee
Dah hii hatari sasa
 
Hizi dini hizi..anyway ushauri kwa wakatoliki endeleeni kutafuta Mungu wa kweli..hicho kisiwe kituo chenu cha mwisho.

#MaendeleoHayanaChama
Hata walokole nao ni majanga...kwahyo ni kupambana tu...si uliona gwaj boy had wamemfotoa...hawa wengne tunakutana nao mitaan huku wanavaa kapelo wanaibia wake za watu..kina mwingira..kwahyo ..mapambano ni makal sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hawapigi wale masista!!!?...wanachofata kwa watoto ni mnato
 
Shida yenyewe ni nyege tuu za mapadre
 
Si kila anayejiita mtumishi wa Mungu anamtumikia Mungu. Usizuzuke na bodi,cheki Injini.
 
Duuh mbona unatukana ndugu yangu, kuwa mpole
 
Mbona kila siku mashehe wanabaka?
 
Ulivyoripoti is as if kuna jambo jipya limetokea wakati ni ripoti kuhusu mambo yaliyotokea miaka ya 1970 hadi 1990. Kuwa makini sana kwenye kutoa taarifa sahihi, achana na ajenda ya kutoa habari ambazo wewe mwenyewe huwezi kuzithibitisha. After all source wako siyo primary source wa issue yenyewe. Yaani ume'rely on a secondary source' whose authenticity on the issue you cannot establish. Shame upon you!
 
Kwani hayo yako katoliki tu, jiulize kwa nini wengine hawasemwi
 
Mtu kuambiwa amejitoa sadaka kwa Mungu mpaka ku- sex, huoni hapo Pana tatizo?
 
Kama kazipuuzia kwa makusudi kesi au tuhuma hizo nzito, tumeanza kuwa na mashaka naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…