Ulaya yakataa kununua gesi ya Urusi kwa sarafu ya taifa hilo

Ndio mkuu marekani jana wametangaza badala yake soko litahamia kwao, ni Putini amekosa yote pengine Marekani pia alikuwa anataka soko la gesi ikawa hajui ni kwa vipi putini atamnyanganya lakini ngoma imekuja automatically
Acha bangi mkuu, kumbuka Marekani hana gas ya kutosha kufidia gap la Urusi... Pia gas ya America ipo mbali na endapo akitaka kuiuza Ulaya, basi itabidi apakie kwenye matenki kitu ambacho kutasababisha ifike Ulaya ikiwa imepanda gharama mara dufu.

Urusi yeye anacheza na koki tu

Acha kusikiliza propaganda za mataifa ya magharibi
 
Na Biden amewaambia Ulaya miundombinu ya kuifikisha gesi ulaya itakamilika 2030.
 
Pro America hawaelewi hili maana wao ni kama nyumbu wa Ngorongoro
2030 ni kesho tu chief.. kwa sasa watakuwa wanauza kwa meli n.k gharama lazima zipande, hizo ni cost ndogo sana kwa NATO, kwahiyo miaka 8 kuanzia sasa soko la gesi la mrusi kwa Ulaya linakuwa limekwisha hasara kwa nani? Unajua ni kiasi gani Russia anawategemea ulaya kuuza gesi yake? Unapima kweli chief long term effects ya hiki kitu?
 
Rais Biden wa Marekani anajadiliana na kufikia makubaliano namna USA itavyowapelekea Ulaya cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia pengo lililojitokeza baada ya kuiwekea vikwazo Russia.

Source: BBC
Kwa meli? Au kwa njia gani? Uwe unafukira zile ni siasa.. gesi ya urusi kua replaced sio chini ya miaka 8
 
Na mambo ya kushikilia mali zao nao yakitoka wapi?
 
Watake ama wasitake gesi watalipia tu kwa Ruble hawana namna, wameweka vikwazo zaidi ya 1000 mwanaume kaweka kimoja wote wanaanza kulialia hapa na kutia huruma. Wasipolipa jamaa anafubga koki na hapo ndipo watatuma wake zao na watoto wao kama malipo ya gesi Urusi[emoji1787]
 
Rais Biden wa Marekani anajadiliana na kufikia makubaliano namna USA itavyowapelekea Ulaya cubic meters 15 bil za gesi asilia kufidia pengo lililojitokeza baada ya kuiwekea vikwazo Russia.

Source: BBC
Kupata gesi sio shida.....hilo hata hao ulaya wanajua hilo shida ni kupata gesi kwa gharama ile ile ambayo waliku wanaipata toka kwa mrusi......gesi ya kusafirishwa na meli sio sawa na gesi ya kusafirishwa na bomba........hapo logistics tu zinapandisha gharama
 
Ujui yanapotoka eeh Kwan si umesusia bidhaa za urusi si ususie na gesi unashindwa nn, umemzuia asitumie dollar wala Eur kwa nini umpe makaratasi hayo hayo asiyokua na matumiz nayo ? Sasa hutaki wanaume wanakaza coke tu halafu tuone hizo terms unazozizungumzia Kama zinauwezo wa kufungua
 
Hii game lazima ukubali kwa kupimana ubavu wamagharthawawez watabaki kulia lia tu na kuona wameonewa kukimbilia mkataba bc unapiga kampen URUSI itengwe halafu unachagua sehem ya kuitenga itenge yote Kama kwel we kidume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…