Ulaya yakataa kununua gesi ya Urusi kwa sarafu ya taifa hilo

[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851] kawaambia weka ugoko naweka nondo
 
Hii game lazima ukubali kwa kupimana ubavu wamagharthawawez watabaki kulia lia tu na kuona wameonewa kukimbilia mkataba bc unapiga kampen URUSI itengwe halafu unachagua sehem ya kuitenga itenge yote Kama kwel we kidume
Bado una akili za kitoto sana.
 
Ni kwamba mpaka hapo hizo nchi ziko tayari ku-sacrifice ndio maana ya kuweka hivyo vikwazo vya kufa mtu Crippling Sanctions, russia inatakiwa aje huku tulipo kwa wachumia tumbo.
 
Mkuu huwezi kujadili huu mjadala na vijana ambao wamekaa kishabiki. Hapo umemueleza kwa undani ili atafakari, akija hapa atakupinga mno.

US na baadhi ya nchi za NATO zile Top zimemtupa mbali Russia kiuchumi. Hizo gharama kupanda sidhani kama ni ishu kubwa kwao. Pia vile vile US kwa kuwa anaingiza bidhaa sokoni, na anataka kumkomesha Russia, bei lazima iwe ya kawaida.

Mimi sioni kama kuna shida kubwa endapo US na NATO wakaazimia hili. US na Europe wana pesa aiseee, sio wajinga wale.

Kati ya mfanya biashara, yaani muuzaji na mnunuzi, anayeumia zaidi ni muuzaji. Sasa hapo ni mafuta tu, bado sekta za uwekezaji n.k Russia kuna mahali hajakaa sawa ktk hili.
 
Ndio mkuu marekani jana wametangaza badala yake soko litahamia kwao, ni Putini amekosa yote pengine Marekani pia alikuwa anataka soko la gesi ikawa hajui ni kwa vipi putini atamnyanganya lakini ngoma imekuja automatically
US hawawezi kuziba pengo la Russia mkuu, kwanza US gas yake itakua gharama, pili US hawezi ziba pengo la Russia kwa 100%, kwenye 40% wanasema atafidia kwa 10%.

Hao Qatar sio wajinga ni taifa la 3 duniani kwa reserve kubwa ya gas baada ya Iran, wakati inayoongoza ni Russia.



Nambie wewe 30% wanatolea wapi.
 
Qatar anahitaji muda kujipanga kwahiyo kwasasa lazima warudi Urusi au wazime mitambo yao
 
Qatar anahitaji muda kujipanga kwahiyo kwasasa lazima warudi Urusi au wazime mitambo yao
Njia pekee ya kupitisha bomba toka Qatar ilikuwa na Syria, ule ndio mlango halafu linafikia Turkey na kuingia Ulaya.

Hilo limeshindikana, cause Syria Russia yuko pale.

Assad ndicho kisa cha kupigwa na West kwamba akubali kupitisha bomba la Qatar.

Kazi ipo, Russia wanacheza kete zao kwa umakini sana.
 
Na huu ndio wakati anaweza kuwapa maumivu EU kwenye gesi maana mda sio rafiki kwa watu wa EU kwasasa
 
Walidhani wanacheza na Mugabe ,wanacheza na Kanali wa zamani wa KGB. Pengine watu hawajui KGB ni nini ndio maana wanamchukulia poa. Kwa ufupi tu KGB ilikuwa mashine ya ujasusi kubwa sana duniani .
 

Mwenzio kawekewa vikwazo vingi, so unategemea nae awakalie kimya hao killers/magaidi!!! Ila nyie watu munashangaza sana 😁 utafikiri mko family moja na magaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…