Ulaya yakataa kununua gesi ya Urusi kwa sarafu ya taifa hilo

Fursa gani Tanzania ichangamkie wakati hata mafuta ya kupikia tu hatuna na ardhi yote hii hadi na sisi yamepanda bei huku tukiwa watazamaji tu. Hatuna cha kuchangamkia hapo.
 
Kwani muuzaji ni Russia tuu?
 
Kwani muuzaji ni Russia tuu?
Norway, Algeria n.k wanauza gas Ulaya lakini exporter mkubwa zaidi ni Russia.

40% unafikiri ni mchezo?

Imagine umekaa zako hapo unaambiwa mshahara wako umekatwa 40% kwa kosa fulani kuanzia sasa na kuendelea.

Halafu Ulaya ilikuwa bado inahitaji gas zaidi ndio maana kuna ule mradi wa NordStream 2 uliokuwa ukiendelea.

Pigo ni kubwa mno.
 
That is the price the Europeans will have to pay for the sake of democracy and freedom, the values they've been at pains to attain and which are now being threatened by the Russian dictator.

The strategy designed to look for another credible supplier for energy has been unanimously adopted by all members of the European Union all of whom are eager to end their dependence on the Russian energy.

This news will undoubtedly add to the list of setbacks to the already sanctions ridden government in Moscow.
 
.... Kwa hiyo tukusikilize wewe unayekula magimbi hapo Buza kwa Mama Kibonge.
 
Hapana haiko hivyo, kasome tena. Kuna vitu vitatu waga vinachanganya sana watu:

1. The largest deposit

2. The largest exporter

3. The largest producer.
 
Hapana haiko hivyo, kasome tena. Kuna vitu vitatu waga vinachanganya sana watu:

1. The largest deposit

2. The largest exporter

3. The largest producer.
Tunaingia kwenye lugha sasa..
Ambacho hutaki kukubali ni kwamba US hana uwezo wa kuziba nafasi ya Russia katika gas exporting kwenda Ulaya.

Hana huo uwezo na haitotokea, acha ubishi.

Nikuambie tena haiwezekani na haitotokea. Kama unabishana na wataalamu wa hayo masuala sawa..
 
Mkuu haya mambo hayajatokea bahati mbaya.. watu washacalculate mda tu, na Putin anaenda tu bila brake.. wenzie wanatumia akili yeye anaonyesha mavifaru.. wakifanikiwa kumtoa kwenye ku supply gas europe uchumi wao utashuka sana, anawategemea sana kwenye hilo soko asikwambie mtu anauza sana yaani.. hata akiweka sijui auze kwa hela yake, kuna mikataba ya international transactions kuwa us dollar ndio means of transactions, sasa subiri wamtoe abaki na hao wachina na wenzie awauzie.. watu wanamtoa kwenye deals za maana.. tusubiri tuone
 
Hiki kitu hakijatokea kwa bahati mbaya.. europeans wapo stable sana aisee, sasa mtu anakuuliza watauzia wapi? Sijui gharama zitapanda tutaseka sisi nchi za huku, wale hawayumbi na wamedhamiria kummaliza nguvu Russia, Putin atumie sana akili kwenye karata zake
 
Humu watu mnajadiliana Kama walevi
1.Ulaya wanaitegemea Russia kwa gesi mno kwani ni rahisi na Kuna bombs zimetawanywa Europe gas inafika kwa pipelines.
Ili marekani apeleke gas inabidi asafirishe kwa meli na asambaze kwa meli huku akipitisha gesi maeneo hatari ni gharama kubwa zaidi ya Mara 8 ,compared to Russia.
2. Russia kabla ya hii Vita walishacalculate risk zote na benefit,wakaona ukiiwekea vikwazo Russia , unaiua Ulaya yote kiuchumi kwa fuel na gesi baada ya muda Europe wataachana na vikwazo kwani nchi zao hazitatawalika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…