Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

Kuna sehemu nilikuwa nafanya kazi nikapata kama million 8 baada ya kuchukua mafao yangu NSSF na akiba yangu nikanunua kiwanja nikajenga banda la mpira lilikuwa linaenda vizuri tu ila kutokana na majukumu nikamuachia mtu aendeshe likamshinda ikabidi nikubali matokeo nikaenda zanzibar kuchukua mzigo kama TV used fridge pasi heater nakadhalika kwasababu nilikuwa bize sana na kazi nikamwachia mtu aendeshe akaniibia nikamtimua nikafunga biashara kwa hyo ile million 8 ikapotea kwa style hyo nimeambulia kiwanja tu ila nimejifunza vitu vingi sana sasa hivi najipanga kuja kivingine nianze upya na projects mpya I hope I will succeed next time.
 
JF ninayoijua.

Well documented mkuu πŸ‘πŸΎ
JF ninayoijua

Well documented mkuu
 
boss miti inadondoshwa zinachanwa mbao undersize... yan si za kuuza ni kwa ajiri ya kutengeneza mizinga ya nyuki. mwisho wa siku sikufikia malengo na pesa nimeshachoma
Ulimbia mchezon mapema sana, issue s ilikua kukata mti mwingine tu uchane size unayotaka ? Au

Lililo kupata ni sehem ya kujifunza , hujachoma pesa
 
nakumbuka niliweka hapa bandiko la mashine gani nzuri ya kuchana mbao wadau wakashauri nichukue husqvana... acha kbs kazi yoyote ya kuambiwa usiende kichwa kichwa kama hujawahi kuifanya ndio kilichonitokea mim
Hehehe pole mkuu, tayar umejifunza, rudi upya mzigoni
 
Hii cosmetics mpewe maua yenu walai, nilijifunza kwenu , mwaka wa pili na kitu sasa , biashara imesimama mie niko porini natafuta shilingi kwenye kilimo na ufugaj, pesa inatoka kwenye cosmetics huko huko
 
Kariakoo paache tu, ukiwauliza wanakwambia nidhamu & kujituma
Watu wanauza matambara, mawe na mavi mule ila wateja kibao! Na mapesa kedekede... Ukiwa na macho ya ulimwengu mwingine ndo utayashuhudia hayo hivihivi katu huwezi gundua hilo. Na wao wenyewe wakijua wanakutoa mkuku fasta! πŸ˜…πŸ™ŒπŸΎ
 
Nina ndugu yangu analipa madeni (uzuri ni mfanyakazi wa serikali) sababu ya Hii biashara ya madini

Bahati mbaya yeye aliingizia na ushirikina, mganga akalamba hela na shimo likalamba pesa

Siyo mchezo..

Pole sana utainuka tu pambana.
Daaah...! Dhahabu hatari sana jamaa yangu. Hapa kichwa kimevurugika. Najikaza tu uanaume ila nina strees za kufa mtu. Nikivuka Salama mpaka mwaka 2025 nitamshukuru MUNGU sana
 
Nyie Nyie binaadamu?[emoji119]

Yupo nilimfundisha kila kitu na amekua my no one Enemy!

Yeye ndo amekua anapambana na mimi kupitia migongo ya watu wengine,
Ndo maana matajiri hawataki ukaribu na maskini..
Hiyo ni wengi sana wako hivyo. Unamtoa chini baadae anakuwa adui yako namba moja. Waafrika sio kabisa
 
jamaa akanikoki ukiwa na chainsaw mizinga ya mabox ni rahisi kuchonga tena kiwepesi... Ltrs20 ya petrol inachana mbao 700. Bwn bwn nikaona utajiri si huu hapa... Kumbe bhn si kwel yule mshenz alikuwa na lengo lake maalum
Yaani kuna wakati mtu ukikaa ukikumbuka jinsi ulivyochoma pesa unaishia kucheka badala ya kuhuzunika.πŸ˜€ Na kuna watu ni wataalamu kwenye kuchochea wenzao wafanye vitu ambavyo wenyewe hawavifanyi au vilishawashinda..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…