Nilifanya saving ila siwezi sahau mauza uza yaliyonikuta aisee kwa miaka miwili sikukaa sawa hadi 2022. Ikaleta tafrani hadi kwa penzi langu nikapigwa chini[emoji16].Ulizikopa bank ama? Au ulifanya savings?
Sio kweliWasikudanganye, Biashara bila kujiungamanisha na upande wowote wa Ulimwengu wa Roho, kutoboa ni ngumu sana, kila mtu ana mbinu za siri za kujiungamanisha na ulimwengu wa roho.
SUPPORTEDBiashara unatakiwa ujipe muda wa kujifunza na kuijua hata kwa kujitolea kwa mtu
Kubadili badili biashara ambazo huna uzoefu nazo ina maana kila siku ni kuanza upya huku muda unaenda
Kwanza nilikubali nimepoteza pili nikaangalia nilikosea wapi tatu nikaanza upya kwa energy mara 10 yake. Nipo tu kwenye usafiri ila nikipata nafasi nitaandika.Pole mkuu.. vipi umewezaje kujikwamua na kuanza kuingiza angalau vijisenti?
Uwezekano wako wa kutoboa inategemea na uzito wa eneo na kama unauza biashara ileile na wale wenzako waliojiungamanisha na Ulimwengu wa roho.Sasa kama ni hivyo ina maana sisi tunaoingia kwenye biashara bila chochote uwezekano wa kutoboa ni sifuri 😐
Yeah biashara inahitaji nidhamu kuliko mtu aliyeko kwenye ajira.Kwanza nilikubali nimepoteza pili nikaangalia nilikosea wapi tatu nikaanza upya kwa energy mara 10 yake. Nipo tu kwenye usafiri ila nikipata nafasi nitaandika.
Now am happy alhamdulillah
Nilifunguaga mgahawa ulikuwa safi sana mwanzoni mara yakaanza mauzauza dah sitakuja kusahau msosi uliopikwa asubuhi kuchacha mchana. Nilichoma hapo 1.05M 2021 na Maabara 4.8 M 2020 .uWasikudanganye, Biashara bila kujiungamanisha na upande wowote wa Ulimwengu wa Roho, kutoboa ni ngumu sana, kila mtu ana mbinu za siri za kujiungamanisha na ulimwengu wa roho.
Sema demu hakukupenda kweli, shukuru Mungu alikuondolea. Mapenzi yanapimwa wakati wa shida.Nilifanya saving ila siwezi sahau mauza uza yaliyonikuta aisee kwa miaka miwili sikukaa sawa hadi 2022. Ikaleta tafrani hadi kwa penzi langu nikapigwa chini[emoji16].
Sawa ni mtazamo wako.Sio kweli
Mno ,ila kujiajiri wazee sio mchezo waacheni tu wanasiasa wang'ang'anie vyeo nilikua nasema peke yangu[emoji16].Yeah biashara inahitaji nidhamu kuliko mtu aliyeko kwnye ajira.
+ or -Sema demu hakukupenda kweli, shukuru Mungu alikuondolea. Mapenzi yanapimwa wakati wa shida.
Kujiajiri sio mchezo, nidhamu kubwa na pia hospitality, kuhakikisha wale wateja wa kila siku unawapa hadhi ya pekee plus addition ya ulimwengu wa roho, wengine wanamtumainia Mungu, wengine sehemu nyingine, inategemea na Imani ya mtu.Mno ,ila kujiajiri wazee sio mchezo waacheni tu wanasiasa wang'ang'anie vyeo nilikua nasema peke yangu[emoji16].
Ukipata nafasi hebu tupe hayo madini mkuu manake sasa hali imeshakuwa mbaya. Watu kila tukijaribu tunafumuliwa mi mbata unatoka unaona nyotanyotaKwanza nilikubali nimepoteza pili nikaangalia nilikosea wapi tatu nikaanza upya kwa energy mara 10 yake. Nipo tu kwenye usafiri ila nikipata nafasi nitaandika.
Now am happy alhamdulillah
Shukran mkuuPole mkuu...
Hakuna nomaUkipata nafasi hebu tupe hayo madini mkuu manake sasa hali imeshakua mbaya. Watu kila tukijaribu tunafumuliwa mi mbata unatoka unaona nyotanyota
Nakumbuka kuna center moja nilikamata sehemu. Kila mtu ananiambia daah hapa mwanangu umeula kwa eneo hili utapiga business mpaka uchoke. Weee..! 😀 Mbata! Mbata! Kofi! Teke! Mtamaa..! Kichwa chini miguu juu hata miezi 6 haikuisha dadek😄Uwezekano wako wa kutoboa inategemea na uzito wa eneo na kama unauza biashara ileile na wale wenzako waliojiungamanisha na Ulimwengu wa roho.
Kama unauza bidhaa tofauti, hakuna uzito, alafu zikiwa na quality na pia customer service bora, utapata wateja. Ila kama ukiuza sawasawa na wale, oyaa nakuambia utaishia kula kwa macho.
Kule Moro, kwa wakulima wa nyanya, ukiwa umekodi eneo la kulima, kuna vibarua special unawaajiri wafanye kazi, Sasa tafuta wa kwako, aisee hutafanikiwa kabisa katika kilimo cha nyanya mpaka unajiuliza kwanini?
Yaani mpaka logic inagoma, nakuambia ukweli, sio stori za kutunga.