Uwezekano wako wa kutoboa inategemea na uzito wa eneo na kama unauza biashara ileile na wale wenzako waliojiungamanisha na Ulimwengu wa roho.
Kama unauza bidhaa tofauti, hakuna uzito, alafu zikiwa na quality na pia customer service bora, utapata wateja. Ila kama ukiuza sawasawa na wale, oyaa nakuambia utaishia kula kwa macho.
Kule Moro, kwa wakulima wa nyanya, ukiwa umekodi eneo la kulima, kuna vibarua special unawaajiri wafanye kazi, Sasa tafuta wa kwako, aisee hutafanikiwa kabisa katika kilimo cha nyanya mpaka unajiuliza kwanini?
Yaani mpaka logic inagoma, nakuambia ukweli, sio stori za kutunga.