Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

Wengi tunaingia kwenye biashara bila kuwa taarifa sahihi za unachokusudia. Tunakua na plan fupifupi zenye fikra ya kufanikiwa haraka haraka kitu ambacho kinatu cost sana. Tuwekeze kufanya research na tuwe ma uthubutu wa kutake risk na kuwa patient
 
Sasa kama ni hivyo ina maana sisi tunaoingia kwenye biashara bila chochote uwezekano wa kutoboa ni sifuri 😐
Uwezekano wako wa kutoboa inategemea na uzito wa eneo na kama unauza biashara ileile na wale wenzako waliojiungamanisha na Ulimwengu wa roho.

Kama unauza bidhaa tofauti, hakuna uzito, halafu zikiwa na quality na pia customer service bora, utapata wateja. Ila kama ukiuza sawasawa na wale, oyaa nakuambia utaishia kula kwa macho.

Kule Moro, kwa wakulima wa nyanya, ukiwa umekodi eneo la kulima, kuna vibarua special unawaajiri wafanye kazi, Sasa tafuta wa kwako, aisee hutafanikiwa kabisa katika kilimo cha nyanya mpaka unajiuliza kwanini?
Yaani mpaka logic inagoma, nakuambia ukweli, sio stori za kutunga.
 
Wasikudanganye, Biashara bila kujiungamanisha na upande wowote wa Ulimwengu wa Roho, kutoboa ni ngumu sana, kila mtu ana mbinu za siri za kujiungamanisha na ulimwengu wa roho.
Nilifunguaga mgahawa ulikuwa safi sana mwanzoni mara yakaanza mauzauza dah sitakuja kusahau msosi uliopikwa asubuhi kuchacha mchana. Nilichoma hapo 1.05M 2021 na Maabara 4.8 M 2020 .u
 
Mno ,ila kujiajiri wazee sio mchezo waacheni tu wanasiasa wang'ang'anie vyeo nilikua nasema peke yangu[emoji16].
Kujiajiri sio mchezo, nidhamu kubwa na pia hospitality, kuhakikisha wale wateja wa kila siku unawapa hadhi ya pekee plus addition ya ulimwengu wa roho, wengine wanamtumainia Mungu, wengine sehemu nyingine, inategemea na Imani ya mtu.
 
Kwanza nilikubali nimepoteza pili nikaangalia nilikosea wapi tatu nikaanza upya kwa energy mara 10 yake. Nipo tu kwenye usafiri ila nikipata nafasi nitaandika.

Now am happy alhamdulillah
Ukipata nafasi hebu tupe hayo madini mkuu manake sasa hali imeshakuwa mbaya. Watu kila tukijaribu tunafumuliwa mi mbata unatoka unaona nyotanyota
 
Uwezekano wako wa kutoboa inategemea na uzito wa eneo na kama unauza biashara ileile na wale wenzako waliojiungamanisha na Ulimwengu wa roho.

Kama unauza bidhaa tofauti, hakuna uzito, alafu zikiwa na quality na pia customer service bora, utapata wateja. Ila kama ukiuza sawasawa na wale, oyaa nakuambia utaishia kula kwa macho.

Kule Moro, kwa wakulima wa nyanya, ukiwa umekodi eneo la kulima, kuna vibarua special unawaajiri wafanye kazi, Sasa tafuta wa kwako, aisee hutafanikiwa kabisa katika kilimo cha nyanya mpaka unajiuliza kwanini?
Yaani mpaka logic inagoma, nakuambia ukweli, sio stori za kutunga.
Nakumbuka kuna center moja nilikamata sehemu. Kila mtu ananiambia daah hapa mwanangu umeula kwa eneo hili utapiga business mpaka uchoke. Weee..! 😀 Mbata! Mbata! Kofi! Teke! Mtamaa..! Kichwa chini miguu juu hata miezi 6 haikuisha dadek😄
 
Back
Top Bottom