Ulichoma mtaji mara ngapi mpaka kuja kutoboa kibiashara?

Uwezekano wako wa kutoboa inategemea na uzito wa eneo na kama unauza biashara ileile na wale wenzako waliojiungamanisha na Ulimwengu wa roho.

Kama unauza bidhaa tofauti, hakuna uzito, halafu zikiwa na quality na pia customer service bora, utapata wateja. Ila kama ukiuza sawasawa na wale, oyaa nakuambia utaishia kula kwa macho.

Kule Moro, kwa wakulima wa nyanya, ukiwa umekodi eneo la kulima, kuna vibarua special unawaajiri wafanye kazi, Sasa tafuta wa kwako, aisee hutafanikiwa kabisa katika kilimo cha nyanya mpaka unajiuliza kwanini?
Yaani mpaka logic inagoma, nakuambia ukweli, sio stori za kutunga.
Fanya kufafanua kiongoz
 
Mada nzuri mnooo
Niko Kwenye mifugo mwaka wa pili Sasa bwana awee..napigwa za uso mchana jioni na usiku wa manane ila sikomi
Msomali ananyonya,Pugu wanasepa na pesa , vingunguti Nako Hali Tete
Nyie acheni tu
Ushirikina ndo umejaa watu wanapigana mishindo sio poa
Ila Mimi Imani yangu ni kusimama na Mungu mmoja mpk siku ya mwisho na kama kwenye kumuamini Mungu tunafeli am ready to fail Kwa kweli
Watu wachawi jamani Kwa waganga Kila siku,mapete ya ajabu ma ringi yake ya mkononi Yametengenezwa mfano wa Nyoka n.k,mahirizi shingoni ,yaani jamani hii Dunia hii acheni tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kitu kikubwa nilichojifunza kwenye huu uzi ni kwamba biashara inahitaji roho ngumu, uvumilivu, na kukomaa. Ukila za uso usikate tamaa, angalia ni wapi ulipokosea na uendelee kukomaa na biashara hiyo hiyo usibadilishe.
 
Mada nzuri mnooo
Niko Kwenye mifugo mwaka wa pili Sasa bwana awee..napigwa za uso mchana jioni na usiku wa manane ila sikomi
Msomali ananyonya,Pugu wanasepa na pesa , vingunguti Nako Hali Tete
Nyie acheni tu
Ushirikina ndo umejaa watu wanapigana mishindo sio poa
Ila Mimi Imani yangu ni kusimama na Mungu mmoja mpk siku ya mwisho na kama kwenye kumuamini Mungu tunafeli am ready to fail Kwa kweli
Watu wachawi jamani Kwa waganga Kila siku,mapete ya ajabu ma ringi yake ya mkononi Yametengenezwa mfano wa Nyoka n.k,mahirizi shingoni ,yaani jamani hii Dunia hii acheni tu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

Pole asee,utasanda tu miungu ya kuletewa na wazungu na waarabu ni yauongo. Unapoteza muda tu,fuata mila na tamaduni zetu ukiwekeza na akili utatoboa.

Anyway unauza ngombe kutoka pori au una garagaja. ?
 
Back
Top Bottom