Mada nzuri mnooo
Niko Kwenye mifugo mwaka wa pili Sasa bwana awee..napigwa za uso mchana jioni na usiku wa manane ila sikomi
Msomali ananyonya,Pugu wanasepa na pesa , vingunguti Nako Hali Tete
Nyie acheni tu
Ushirikina ndo umejaa watu wanapigana mishindo sio poa
Ila Mimi Imani yangu ni kusimama na Mungu mmoja mpk siku ya mwisho na kama kwenye kumuamini Mungu tunafeli am ready to fail Kwa kweli
Watu wachawi jamani Kwa waganga Kila siku,mapete ya ajabu ma ringi yake ya mkononi Yametengenezwa mfano wa Nyoka n.k,mahirizi shingoni ,yaani jamani hii Dunia hii acheni tu
Sent from my Infinix X657 using
JamiiForums mobile app