Ulifanyaje kipindi huna hela, yaani maisha yamekupiga total knock out?

Issue nipo Moshi, huku hakunaga hizo bolt bin uber, huku ni bajaj mostly na hata kisela kisela ni ngumu kugusa chombo cha mtu, unaweza kung'utwa mpaka usahau kuwa una njaaa.
Mkuu we tafuta vifaa vya kupandia mlima anza kuzunguka kwenye makampuni ya kupandisha watalii.
 
we Jamaa, hata mm niko Moshi. kweli mambo ni tyte na hamna namna lazima tuishi. ila njoo Manyema huku tujichanganye utakosa pesa lakini jioni una mazaga rundo ya msosi.
 
Maisha siyo mstari myoofu na kama hauna uvumilivu, hekima na busara utajikuta unafanya mambo maovu ili mkono uende kinywani.
Maisha siyo rahisi kama tunavyofikiria
 
Nilishawahi kukwambia mimi ni mwanamke?
Mimi leo ndio nimejua wewe ni mwanaume na tena kwa kusema mwenyewe …kwa jina ,picha na baadhi ya michango yako nilikuwa najua ni mwanamke …kuna siku nilipanga nikuombe papuchi(jokes) πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Hakika jf usije kichwa kichwa
 
we Jamaa, hata mm niko Moshi. kweli mambo ni tyte na hamna namna lazima tuishi. ila njoo Manyema huku tujichanganye utakosa pesa lakini jioni una mazaga rundo ya msosi.
MANYEMA PALE SOKONI MZEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE AU WAPI ??? VIPI KUNA MISHE GANI HUKOO MANYEMA ????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…