Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

I was shocked, amazed .. I was filled with joy laughter . Nilikuwa mixed feelings Nilikuwa nakwenda sokoni kila Siku kama mwendawazimu , nikimlazimisha mama wa mwanangu ale kila Chakula ambacho nilijua ni Bora kwa ajili yake Kevin ..then tarehe 7 Siku ya Jumapili usiku wa saa mbili wonder was born .. The day namhold yule kiumbe at first kwenye mikono yangu ilikuwa Siku ya j3 Asubuhi ya saa 2 .. nje ya hospital aise nilibubujikwa machozi yenye hisia mchanganyo .
 
Umeona hayo maneno niliyo bakiza Baada ya kuku quote, I really appreciate thinking na ushauri wako.

Kudos to you kwa kusimama kidete na mwanao, and I hope Nita Jitahidi kupitia humo au kwenda above ya hiyo.

Last am still a fan, keep inspiring me mkubwa🙏🙏 Shimba ya Buyenze
 
Same here Nasoma hapo kwenye mixed feelings .. naona machozi yananilenga lenga .
 
Hongereni sana mkuu, changamoto zozote mlizo kumbana nazo kabla na baada ya kupata mtoto??
 
Hongereni sana mkuu, changamoto zozote mlizo kumbana nazo kabla na baada ya kupata mtoto??
Ugomvi wa hapa na pale baina yangu Mimi na mama yake mzazi , I was only 23 , not yet matured . Mambo mengi nilikuwa nafanya kwa hisia siyo akili . Sikuwa na balance btn heart and brain , ila nilivuka salama . Sikuwahi kupenda mtu ila huyo jamaa nilimpenda nampenda na nitazidi kumpenda . Najua unajua nini maana ya upendo bro .
 
Nakuelewa mkuu, binafsi familia ndo kitu muhimu sana.
 
Binafsi Nina wadogo zangu 2, for real I feel mi ndo Mzee wao.
Mmoja wa kiume, 2 ni wa kike.

Huyu wa kike ndo tume kuwa na bond kubwa Sana, sometimes ana ona Mimi na yeye ni watoto tu.
She may joke na hata kuni ambia ushauri mzuri(nabaki nawaza huyu mtoto au mtu mzima😁).

They mean a lot to me, huyu ya wa kiume tume kuwa cool siku za karibuni.
Zamani hakiwa POA na Mimi, Ali hisi labda am benefitting more kwenye masuala fulani hivi.
Ila good news, kabadilika na siku hizi Hadi namshauri na ana Elewa.

Huyu wa kike, I see a very big potential inside her, ana akili Kama niliyo wahi kuwa nayo mdogo.
And I will guard them, no matter what,

Shigongo ana kitabu, kina title " damu na machozi". Nina ishi nacho ndani ya fikra zangu kila siku.
Shimba ya Buyenze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…