Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Sitaki kukumbuka wala kusimulia.Kwa sababu,nilimtia mimba mwanafunzi mwenzangu.Hebu fikiria wewe mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha, nime cheka Sana mkuu.Sitaki kukumbuka wala kusimulia.Kwa sababu,nilimtia mimba mwanafunzi mwenzangu.Hebu fikiria wewe mwenyewe.
Kabisaaa..Ndio huyo huyo dogo mpaka dakika hii tushaanza kufanana 😂Samahani mkuu! Uliyezaa nae chuo ndiye umemuoa?
Tuseme amen, ila usi chelewe Sana, Eti kisa Hana six pack😃Mungu naiomba hii baraka isichelewe, lakini zaidi responsible father awe pale kwa ajili yetu Mimi na mwanangu,
tafadhali sana Mungu usininyime hili..
Dah naomba nimshauri asi nyoe kipara 🤣🤣Kabisaaa..Ndio huyo huyo dogo mpaka dakika hii tushaanza kufanana 😂
Hongera! Una ahadi za ukweliKabisaaa..Ndio huyo huyo dogo mpaka dakika hii tushaanza kufanana 😂
Pole Sana mkuu, ila Kwanini useme msiba wa kuji takia??.na wale wasiozaa kabisa wakoment wapi? namaanisha TASA, so sad.
msiba wa kujitakia hauna pole
Narudia.Sitaki kukumbuka na kusimulia sipendi.Uzuri ni kwamba miaka hiyo hakukuwa na miaka "salasini lupango"!Ilikuwa sekondari i.e,mimi A-level na yeye O-level.Hahaha, nime cheka Sana mkuu.
Vipi ulikuwa shule ya msingi au sekindari mkuu??.
Huku kimbia kweli kamanda, wazazi wake Hawa kuku maindi kweli🤣
Ilikuwa ni moment nzuri sana Kwa kweli
Sawa mkuu, tuna subiri tuji funze.Changamoto ni nyingi ngoja nifafanue
Vipi kuhusu matarajio ya kupata mtoto wa kiume aua kike??.Nilikuwa na hofu kabla mke hajajifungua lakini pia nilibubujikwa na machozi ya furaha baada ya kumuona mtoto kwa mara ya kwanza.
Mungu ni mwema
Ameen..!! ❣️Tuseme amen, ila usi chelewe Sana, Eti kisa Hana six pack😃
kina utasa wa kuzaliwa na kuna wa kujitakia, nazungumzia wa kujitakia.Pole Sana mkuu, ila Kwanini useme msiba wa kuji takia??.
Wewe ni me au ke mkuu??