Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

Ulijisikiaje baada ya kugundua unaenda kuwa mzazi kwa Mara ya kwanza?

Hahaha, nime cheka Sana mkuu.
Vipi ulikuwa shule ya msingi au sekindari mkuu??.

Huku kimbia kweli kamanda, wazazi wake Hawa kuku maindi kweli🤣
Narudia.Sitaki kukumbuka na kusimulia sipendi.Uzuri ni kwamba miaka hiyo hakukuwa na miaka "salasini lupango"!Ilikuwa sekondari i.e,mimi A-level na yeye O-level.
 
Mkubwa Grahams na Shadow7, Madame B semeni Jambo.
Ilikuwa ni moment nzuri sana Kwa kweli

Baada ya kupima na kujua mwenzangu alikuwa Mjamzito Kwa mara ya kwanza, nilihakikisha natumia resources zote kumtunza na kuhakikisha anakula mlo kamili Kila Siku

Nilihakikisha namtunza vizuri Mama Kijacho pamoja na mtoto mwenyewe iwapo atazaliwa salama

Ilikuwa sitaki apate tatizo lolote wakati wote wa ujauzito wake, na yeye alikuwa anadeka hadi basi (unaweza kuwa Kazini, mwenzio anakupigia simu eti mtoto(mimba) amemisi kusikia sauti yako hivyo anaomba niongee naye)

Ujauzito huwa unakuja na mabadiriko ya mwili wakati mwingine na tabia Kwa Mwanamke ama Kwa Baba husika (Baba Kijacho)

Binafsi nilikuwa nahisi kichefuchefu wakati wote Waifu alipokuwa Mjamzito hadi kilipokoma baada ya yeye kujifungua 🙌

Mama Kija wangu, yeye alikuwa Mpenzi sana wa Kitimoto na Soda ya Pepsi

Kwahiyo nilimwekea Bili Kwa Mangi kwaajili ya kula Kila Siku

Soda nilikuwa nanua Kreti la Pepsi Kila baada ya Siku 4 maana alikuwa na wastani wa kunywa Chupa 5 hadi 6 Kwa Siku 🙌

Baada ya miezi 9 alijifungua mtoto wa Kiume mwenye Afya tele

Ilikuwa ni kama naota kupewa taarifa zile na Daktari, maana kusema kweli Wanaume wengi hupenda kupata Watoto wa Kiume kwenye Uzao wetu

Kutokea hapo nikawa nawahi kutoka Kazini Kila Siku hata kama ni Kwa kutoroka ili niweze kwenda kucheza na mtoto nyumbani 🤗

Mtu asikudanganye, being a Dad for the first time unaweza kuchizika.

Unaweza kumchukua mwanao uzunguke naye mitaani just for the funny 🤗
 
Pole Sana mkuu, ila Kwanini useme msiba wa kuji takia??.
Wewe ni me au ke mkuu??
kina utasa wa kuzaliwa na kuna wa kujitakia, nazungumzia wa kujitakia.

hawa dada zetu wana mambo mengi sana ujanani kupelekea kuharibu destiny zao.

mi ni me ila nna huruma sana kwa watu hao, ila mtu akiwa mshenzi unaliacha lijifie ki mpango wake.
 
Back
Top Bottom