Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

Ndugu yangu sikulaumu ni kuwa tu hakuna mafunzo ya jando siku hizi. Ndoa ni taasisi na mke ni cheo na mume ni cheo. Hakuna mapenzi katika ndoa bali majukumu, mmoja anaposhindwa kutimiza majukumu yake panakuwa hakuna ndoa. Kwako wewe mkeo hakutimiza majukumuyake kama mke hivyo hapakuwa na ndoa hapo. Ndoa ukiangalia mapenzi utapotea uwe mke au mume. Inabidi uangalie majukumu, Je mke anamudu nafasi yake kama mke ? na Mume anahumudu nafasi yake kama mume ?. Kuna wanawake walidai talaka kisa mume anaruka nje, walisahau majukumu aliyokuwa anatimiza mume. Mwisho wa siku wameishia kudanga maana walishazoea maisha ya kutokuwa na shida ndogo ndogo. Kumbuka hamuwezi kuopendana milele lakini mkitimiza majukumu yenu kila mmoja katika nafasi yake ndoa itadumu.
 
Ukweli mchungu...
 
Bado ujasema

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu mademu wa chuo tena.
Acha utoto,,,,wewe hukuwahi kusaliti wapenzi wako??
 
Ila katika hayo majukumu ni pamoja na uaminifu wa mke.

Likikosekana hili basi umeingiza ndani Malaya, kahaba, Changudoa, Mchawi, Mwanga na siku yoyote utalia kwa machozi au kifo
 
Ila katika hayo majukumu ni pamoja na uaminifu wa mke.

Likikosekana hili basi umeingiza ndani Malaya, kahaba, Changudoa, Mchawi, Mwanga na siku yoyote utalia kwa machozi au kifo
Ndio nilichosema hapo juu rejea kwenye comment yangu.
 
daa ishu ya mi kuzaliwa bongo ilikuwa sio aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…