Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

Aisee nakuelewa sana. A man should feel proud for his other half. When you are proud then you can surely protect her. If you can't control how can you protect?
 
Kumpa Mimba mnyakyusa,seee wanamatusi na zeleeu wale watu....nimeoa mwingine lkn mpaka Leo nikiona anapiga natakani kujificha.Ningejua hata kumsimamisha nisingethubutu.
Hahaa hatimae wanyaki wamefikiwa. daah pole kwa kujichomeka uko kwenye ngenga aisee,,,jichunge sana aisee mnyaki hakawii kukukata mbata za uso
 
Bora hata wewe umejiongeza mkuu. Kuna wengine wamemaliza chuo bado wanaomba hela ya vocha/bando na sabuni kutoka kwa walioishia la 7.
 
Kuishabikia Simba na Manchester United
 
Kumwacha mtu niliyempenda zaidi aende kirahisi, sijapata mwingine kama yule tena , ushauri wangu ni huu kama unampenda mtu na unaona kabisa unavutiwa nae na yeye anakupenda shetani akiingia Kati mwondoe shetani na hakikisha unabaki na umpendae.
Ushauri mzuri huu.Nimeuchukua,huyu my wangu tutakufa na kuzikana no matter what.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…