Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

Pole
 
Ukifuatilia huu uzi...

Mara wengine wajute kusoma Degree.

Mara wengine wajute kutokusoma degree.

Halafu kila mtu anadhani pengine labda angesoma au asingesoma hiyo degree ndio angefanikiwa

Sasa kwa watu hawa wawili wenye hii mitazamo, Hakuna ushauri wa moja kwa moja ambao mtu anaweza kujifunza na kuufuata.

Bado ishu ni palepale, Life has no formula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…