Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

Kufanya kazi za watu muda mrefu hadi usiku nakusahau kupambania ndoto zangu. Kumbe niligeuzwa ngazi ya kuwapandisha wengine badala ya kujituma kuboresha malengo yangu
Very powerful message
 
Kufuata dini za mchogo toka Ulaya (Isreal) na Uarabuni wakati hazina uhalisia wowote maishani mwetu Waafrika.
 
Kufuata Dini za watu zisizo na mpango kwetu Waafrika
 
upo busy viwanja na mawifi kuonekana kwa mwezi mara moja utashirikishwa saa ngapi
Pole huku unaangua cheko sitaki
Kunitafuta kupitia wifi yako ulishindwa?

Eheh niambie shida nini ?kaka yako niko tayari hata kujeruhi kiumbe kinachopoteza furaha yako ili tu uwe sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…