Ulikuta kitu gani kwa Watu ukajua "hapa pesa ipo"?

Sasa mzee wangu unasema hujawahi kushtushwa na chochote kumbe mtu kulipiwa ada ya chuo tu umeshtuka hahaha!
 
😁😁👏👏😆😆😆😄😄😂😂😂😬😬 Mpaka paka na mambwa Wazungu wanayapanda.

Hujasikia Bilionea Ratan Tata aliyevhta Uzi amemuachia paka wake Urithi wa mabilioni? 😂😂
 
Kuna siku nilienda kufunga WI Fi mbezi beach jogoo, wakati nipo sitting room naendelea na kazi ghafla namuona dogo anakuja na bulungutu na Euro 50/50 zipo kwenye tape hazijafunguliwa anaendesha kama gari😳 mwili ulipigwa na ganzi isiyo ya kawaida, akili ya kutaka kulichukua ikanijia (kuiba)🤣 nikiwa najiuliza sijafanya maamuzi nikamuona dada yake anaita mamie...nourin anacheze hela za baba...mama yake akiwa jikon simple tu akasema mnyang'anye Kisha ufunge mlango wa chumbani....hakuna siku mapigo ya moyo yalinienda mbio kama siku hiyo nahisi yule mlaika alitumwa Kuna kunitoa umaskin🤣🤣
 
😄😄😄😄
 
Yaani mtu mzima nianze kuingia kwenye jakuzi? 😂😂😂

Si Bora niende beach nilishindwa sana huko kwenye swimming pool
 

waolewe wana dhiki gani ndugu yanguu kuna maisha kama movie
nzia secondary school. Tanzania
 
Halafu mission ikafeli aah ukawa kama Musa unaiona kanaani afu huingii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…