Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Weee ni miongoni mwa wana jf wa hvyo sana πππππHiyo mbona kawaida wana JF wote wako hivyo kasoro mimi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weee ni miongoni mwa wana jf wa hvyo sana πππππHiyo mbona kawaida wana JF wote wako hivyo kasoro mimi
πππππππ Utata wako wote utakuisha an utapoaaasWe vujisha tu walau watu waone madhari ya pale kwangu waamini kua siwezi kukukaribisha
Nyumba imezungushiwa ukuta, self contained na watoto wake wanaishi mule. Since then sijawahi toa hela kwa hawa watu neverKha.. watu wanamabomba ya tazama majumbani hatari sana pesa heshima..!
ππππππππππππ
Kuna siku niliwahi kusema kuwa we jamaa kwenye suala la hivo vitu upo radhi wakupige shaba aiseeeee...
Nilijua tuu ukiona hii comment lazima utaniungia daaah πππ
Wabongo tuna hako katabia, kutisha wanyama bila sababu, kuwalamba mabuti na fimbo za hapa na pale.Ni kweli kabisa yaani kabla ya kufika ndani kwa mara ya kwanza nilipewa tahadhari nisi watishe paka au kuwakimbiza mwenye hapendi..
Lile jimama lako halijambo?Friji limejaa ma yogurt, masamaki, manyama...
Ndo nyie mnalazimisha wenzenu mboga iwe mtindi..ππππ
Yani we unaona kabisa mtindi sio kitu, ila huniambii kitu, kwanza siwezi kula ugali bila mtindi..
Mimi huwa sipendi paka Wala sipendi wanisogelee huwa nakosaga amani kabisa paka kwangu ni Kama ADUIWabongo tuna hako katabia, kutisha wanyama bila sababu, kuwalamba mabuti na fimbo za hapa na pale.
Hatari sana πMaisha hatufanani..kabisa nimekuja kuona tena kitu kama hicho kwa boss wangu mmoja mzungu nae anapaka wake nyumbani wanabudget kubwa kama laki 4 kwa mwezi isee mapaka manene hadi kutembea yanashindwa..
paka wananunuliwa hadi toy za kuchezea..
Jamaa akaniambia hawa paka waliokotwa kwenye jaa kwanza hawataki mazoea na rangi nyeusi kabisa wakiwaona wanaondoka na yule mzungu alivyo mweu anasema hataki wageni kwake wanawapa stress paka wake..
Nikacheka sana nikasema hao paka wanajua balaa la jua kali huko nje wamekubali kuwa machawa hapa maisha yaende..mzungu aamini hivyo anaamini wale paka wanapata msongo wa mawazo sababu sisi waafrica tuna watisha na kuwapiga ovyo bila sababu.
Nae ni miongoni nini ππππ
We jamaa kwanza before ujacomment na jina lako hilo huwa nacheka tuu...πππLile jimama lako halijambo?
Eh mkuuNae ni miongoni nini ππππ
Unazingua mkuuππNdo nyie mnalazimisha wenzenu mboga iwe mtindi..
πππππ Mnazingua sana ... Tutawanyonga nyie
Mkuu mi na wewe tutamaliza baada ya jibu la dactarUnazingua mkuuππ
Hongera mkuuMzee wangu alitokea familia ya kimaskini Sana.
Babu alikuaga na ngo'mbe wengi Sanaa
Kimiujiza miujiza miaka ya 60's watoto wa Babu kwa miaka tofauti tofauti walikua wanafaulu darasa la saba na kuchaguliwa shule za SERIKALI
Walisomaga zamani na wakabahatika kupata kazi nzurii serikalini na wote wamekua watumishi mpaka Kustaafu kwao utumishi serikalini.
Kwenye tumbo la mama tupo wa 5 hakuna hata mtoto mmoja ambae Hana degree wa mwisho ndio kamaliza hapo Udsm mwaka huu
NB.
Kuna familia ukizaliwa unakua mwenye bahati na chance kubwa ya kuwa na option mbali mbali za kutimiza ndoto/goals E.t.c
Sijaona wa kubishana na Denzel Washington maana Atachapika for 9 sec .πππππππ Na sisi ndio washindi....
Wabishe sasa
Hongera sana mkuuMzee wangu alitokea familia ya kimaskini Sana.