Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoaa gani tena🤣🤣🤣🤣Jenga ndoa hukoo. Nikuite uachike tena. Btw Kuna ushuhuda huko, paka wa mzungu hataki kuona rangi yenu kwa mlichomtenda, na mzungu anasema mkienda kwake mnampa stress paka akiwaona tu.
Kabla hata ya kwenda kwao,watu wenye maisha mazuri Kwa bongo utamjua kuanzia muonekano wa sura mtaani.Wakuu,
Disclaimer🫢 Hapa hatuongelei pesa madafu
Kuna mtu alisema ameenda kwa rafiki yake akakuta wana pump ya mafuta kwao🤣🤣🤣🤣
Yaani mambo za kwenda sheli si habari zao. Wanamaliza tuu hapo nyumbani
Hata mimi ningeshtuka kwa kweli 😀
Wewe ni nini uliona kwa Watu ukajua pesa ipo?
🤣🤣🤣🤣Kuna wezi waliendaga kuvamia nyumba ya kibibi na jiwe fatuma.
Wakati wanaliset set bibi akaamka akawasikia mipango yoote,
Bibi alichofanya alienda akasimama nyuma ya mlango, wale jamaa wakaanza moja, mbili...... ile kufika tatu, bibi akaufungua ule mlango ghafra, jiwe likapita mazima bila kugusa mlango mpaka ndani kisha kwa haraka akaufunga.
Jamaa wakakosa means ya kuvunja mlango wakaanza kumuomba bibi awafungulie walau wachukue jiwe lao
Daah hii nimecheka kiboya sanaa story za jiwe fatuma za vijiweni sanaa those daysKuna wezi waliendaga kuvamia nyumba ya kibibi na jiwe fatuma.
Wakati wanaliset set bibi akaamka akawasikia mipango yoote,
Bibi alichofanya alienda akasimama nyuma ya mlango, wale jamaa wakaanza moja, mbili...... ile kufika tatu, bibi akaufungua ule mlango ghafra, jiwe likapita mazima bila kugusa mlango mpaka ndani kisha kwa haraka akaufunga.
Jamaa wakakosa means ya kuvunja mlango wakaanza kumuomba bibi awafungulie walau wachukue jiwe lao
Hujambo mamyAbee
Nilienda kwa tajiri mmoja, baada ya kutulia sitting room, tukahitajika refreshments room unapanda lift kwenda chumba cha kutuliza akili 3rd floor 😀
😂😂😂Sio powa mkuu unajua yogart ya kopo ww an mnakula mnavotaka...
Alaf ant anasema michezo ya kuacha kuku kwa friji mpaka week inapita hataki
Sijambo shikamoo kakaHujambo mamy